chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,110
- 1,492
prof.Lipumba mmoja, anatikisa chadema yote, Iweje CCM na hicho kisaccoss cha lowasaKwa taarifa kama hizi vijana wa Lumumba wanaweza wasilale leo
prof.Lipumba mmoja, anatikisa chadema yote, Iweje CCM na hicho kisaccoss cha lowasaKwa taarifa kama hizi vijana wa Lumumba wanaweza wasilale leo
Na ndio maana mkashinda kwa msaada wa Lubuva na JechaHata kwenye Uchaguzi Mkuu kulikuwa na viuzi uchwara kama hivi... Mara Lowassa katikisa Mbeya, Ooooh mara Katikisa Dar, mara Arusha... na saizi mmeanza Tena kutengeneza mitikiso yenu ya kutunga na Picha za kutengenezwa kwa computer (photoshop).... Kweli nimeamini Nyie ni upinzani Uchuro na hamna lolote la maana katika nchi hii. Poleni kwa fikra zenu za uwongo mtupu. Karibuni ulingononi 2020, Saizi ni Muda wa kazi tu!
Bado anaendelea na maigizo badala akachunge.Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA leo ameingia katika mji wa Igunga kuendelea na vikao vya ndani katika kanda ya Magharibi ya chama hicho inayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi.
View attachment 445061 View attachment 445062 View attachment 445063
Kajolijo kikwetu ni ka kipande ka chungu kilichovunjika!Ha ha ha.. hela mbaya sana, yaani hapo tayari unalipwa kwa kazi hii?
Sijawahi kusoma umeandika kitu cha maana hapa!Pumba zote ulizoandika.
Sasa unataka mimi nifanyeje?Sijawahi kusoma umeandika kitu cha maana hapa!
Wew unawivu mbona usemi kuhusu miili saba iliotupwa mto ruvu, je vip faru john kipi muhimu kwako?Ametikisa Igunga mbona nyumba hazijaanguka?
Mbona hueleweki, umelewa?Wew unawivu mbona usemi kuhusu miili saba iliotupwa mto ruvu, je vip faru john kipi muhimu kwako?
Nikweli ata mimi niko nazungushaaa mikono
Haaaaaaahaaaaaaaaa. Atazunguka zunguka tuu. ila ikulu ni mwikoooo
Nikweli ata mimi niko nazungushaaa mikono
Haaaaaaahaaaaaaaaa. Atazunguka zunguka tuu. ila ikulu ni mwikoooo
We jidanganye kuna mtu anaitwa BAGBO pale Ivory Coast alikuwa na ndoto kama unazoota wewe lakini alitolewa humo ikulu na majamaa yale uliyoiona 9 Desember pale uhuruNikweli ata mimi niko nazungushaaa mikono
Haaaaaaahaaaaaaaaa. Atazunguka zunguka tuu. ila ikulu ni mwikoooo
Kwa taarifa kama hizi vijana wa Lumumba wanaweza wasilale leo
Disco za zamani kuna kitu kilikuwa kinaitwa santuri, ole wako upige santuri hiyo hiyo mwanzo mwisho wa disco uone utavyotolewa nduki!bila kujitoa ufahamu huwezi kuwa mshabiki wa hiki chama, juzi tu hapa mlimwita fisadi na majina yote ya ovyo, leo kageuka shujaa!!!
Bado anaendelea na maigizo badala akachunge.
Mbona hao wachache wenzake Tanga walimpenda mpaka wakazimia Musoma mpaka wakadeki barabara naona maigizo season mpya inaendelea.
Mzee kachunge Maigizo waachie Kaole na nyumbu wachanga
Tulizeni wowowo nyie,mnaongea kana kwamba nyie ndio mnaojua future!...Iv bado mnaami Tz kuna upnzan wa kwel jaman amken tunachezwa shere tutaongozwa na CCm had mwsho wa dunia hakuna mpnzan atakaepewa urais nchiii hii
Yoote hayo ni kumpoza asijione wamemtupaAmetikisa Igunga mbona nyumba hazijaanguka?
Na huku wakiendelea kumchuna.Yoote hayo ni kumpoza asijione wamemtupa