UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,320
Acha awadanganye,naamini sana jeshi letu kua imara na lenye nidhamu,pia naamini watanzania wengi kua wenye hekima,hofu,usikivu na kujishusha,ukiwa na watu wa hvyo hata nusu ya wanainchi amani itakuwepo.asiogopeshe watu kwa njia zake mbaya!
Ila Jakaya alikua sahihi alivyosema upinzani ndio unaotaka kuleta furugu siku ya kupiga kura ili wana Ccm wasiweze kupiga kura acheni kujifanya manyani