Lowassa aibua vita mpya

Lowassa aibua vita mpya

Slaa Ajiandae kuchukua nchi
Mimi Mtoto wa Arusha nakwambia..!!
Jiandae Kuchukua nchi
 
Kumbe Le Mutuz ameridhi pumba kutoka kwa baba yake?
 
Arumeru ni CCM wenyewe kwa wenyewe walihujumiana kwa kumhujumu chaguo la EL ili kumkomoa!. 2015 CCM ikirekebisha makosa, jimbo linarejea kwao!. Tena kiukweli kama Chadema inataka kuyalinda baadhi ya majimbo yake, haina budi kuwasaidia baadhi ya wabunge wake dhaifu katika ufuatiliaji, usimamizi na utekelezaji, vinginevyo 2015, itayapoteza!.
Pasco

1. Kama waliweza kumhujumu katika ubunge unadhani hata fursa ya kugombea kwenye uraisi watampa?

2. Udhaifu wa wabunge wa CCM ni mara mbili ya udhaifu wa wale wa CDM. Kwa mfano kama ni asilimia 25 ya wabunge CDM ni wadhaifu, basi ni asilimia 50 ya wa CCM. Kwa hiyo kama CDM itapoteza viti 6 vya wabunge wake dhaifu, CCM itapoteza viti 100 kwa sababu hiyo. Ukiongeza na vingine 40 vitakavyopotea kutokana na "kukomoana", unaweza kupredict mwenyewe CCM itabaki navyo vingapi.

Nadhani Lowassa atakuwa ametafuta plan B maana nafasi ya kugombea CCM hapewi, na CDM hakuendeki.

Nimekumbuka wimbo fulani hivi sijui ni wa vijana jazz... (VIP)
"Ahera hakuendeki, dunia haikaliki,
Nimepatwa na mfadhaiko"...

NAUDEDIKETI KWA LOWASSA
 
Arumeru ni CCM wenyewe kwa wenyewe walihujumiana kwa kumhujumu chaguo la EL ili kumkomoa!. 2015 CCM ikirekebisha makosa, jimbo linarejea kwao!. Tena kiukweli kama Chadema inataka kuyalinda baadhi ya majimbo yake, haina budi kuwasaidia baadhi ya wabunge wake dhaifu katika ufuatiliaji, usimamizi na utekelezaji, vinginevyo 2015, itayapoteza!.
Pasco

Siku ccm ikiacha kuiba kura ndiyo mwisho wake wa kuongoza
 
Kwa Lowasa, kuliko Membe/Sitta/Mwakyembe kuwa raisi, ni bora CDM wachukue nchi and vice versa. ..
Na sasa hayupo mtu wa hekima kama Mwalimu naona anguko la CCM.
 
Back
Top Bottom