YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
Afya Afya siukaijadili afya yako yani jitu ata kufanya total medical check up halijawahi ila kujadili afya za watu malofa km aya ndo huwa yanaomba msaada daily yakiugua.....Mabadiriko lazima hatuitaji MC sisi wala JOHN CENA ikulu.....
hatakama atakuwa kwenye machela tutampa tu kura zetu malofawasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
hatakama atakuwa kwenye machela tutampa tu kura zetu malofa
Ameongea Dk ngapi?
Kurugenzi ya habari hamko makini kipindi hiki... mnazidiwa hata na updates za ACT wasaliti ... angalieni walivo toa updates vizuri kwenye mkutano wao wa leo... kwa hili makene tumahitaji crew itakayo kuwa inatupa updates on the spot na kwa uhakika kwenye kila mkutano wa raisi mtarajuwa.... nimecheki pia kwenye website ya chadema hamana chochote kuhusu kinacho endelea Iringa.... hii hapana makamanda....
.
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Mwenyekiti wa wachuma Mchicha Mafisadi CCM akiona hivi atasema picha zemeungwa ... Wananchi tayari wameamua kufanya mabadiliko... CCM na masalia yake hawaaminiki tena ..