Laigwenan noma....kaeni chonjo.Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Haikuwahi kutokea hata mara moja Hayati Nelson Mandela iwe kwa dhahiri ama kwa kificho kuendesha usaliti ndani ya chama chake na ikumbukwe Mandela aliikuta ANC. Hadi mauti yanamchukua alibaki loyal kwa Chama na wananchama; hakujiinua nafsi yake kwamba yeye ni maarufu kuliko chama. Kumlinganisha Zitto na Mandela ni kuvuka mipaka ya dhihaka.
Hawa si ndio maboda boda wa clouds au?wizi wizi tuuu
ZZK your career is over like Mike anyone Tyson,Jackson,Jordan.
Kwa hiyo kura yako moja? Unajiakikishia kama kwamba una mamilioni ya kura au vile wee ndiye muumba kujua yatakayojiri 2015.Lowasa aka a.k.a mamvi aka zooteee mtamuita ndiye next president mpende msipende
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
wamrudishie basi uwaziri mkuu wake
bora yeye ana uthubutu na sio Pinda
JK umebakiza muda mfupi mpe Lowassa uwaziri mkuu afanye kazi
huyu ana hela hatakuwa na tamaa za kuiba,atawawajibisha wezi na wazembe
Ni kweli mkuu na avatar yangu yajionyesha, LowasaaaaaNape akae mkao mzuri naona fisadi anakuja kwa kasi! Lowassa ni maarufu kuliko CCM. Ukweli ndio huo
Wanamjua vema.Lowassa ndiyo kiboko ya Chadema.