Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

Kweli shukrani ya punda ni mateke.Mmesaha usimamiz wake mahir kujenga shule za kata na watoto wenu wamefuta ujinga. Tunataka kiongoz mwenye uamzi mgum na kuusimamia
 
kweli alipo kuwa prime minister alijitahdi sana shule za kata baada ya kuondoka mambo yaka haribika acha akamwombe Mungu
 
Edward Lowassa alianza na Babu wa Loliondo ambapo Marehem Askof Thomas Laizer KKT alikuwa mstari wa Mbele .
Wakati Tiba la Kikombe ikiyumba kutokana na mashambaulizi ya baadhi ya watumishi wa Mungu waaminifu, Lowassa alikimbilia haraka Nigeria na kule ukatoka utabiri kuwa ,Lowassa ndiye Rais 2015.

Baada ya hapo nguvu za Lowassa zimeimarika sana kama kazi ya TB ilivyoimarika hadi CCM wanamuogopa Lowassa.

Kwa sasa Jengo la Tb Joshua limeporomoka na halitainuka tena na pamoja na TB Joshua kutabiri mambo mengi kwa kutumia miungu yake lakini hakuweza kutabiri anguko la jengo lake!!
Sasa yamkini Lowassa ambaye ni muumini wa TB Joshua ajitokeze kwenda huko kutoa pole kama alivyotoa msikiti wa idrisa

Hata hivyo ni hatima ya imani ya Lowassa kufuatia utabiri wa TB ambaye ameshindwa kutabiri anguka la Jengo lake??

Edward Lowasa, atabiriwa na TB Joshua?

13/06/2011 by Strictly Gospel
41

Pichani Lowasa akiwa kanisani kwa TB Joshua kama anavyoonekana kwenye Emmanuel TV, 12 June 2011
MBINU za Edward Lowassa kutaka kurejea kileleni katika ulingo wa kisiasa zimemnasa mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shelukindo, imefahamika. Beatrice ambaye alikuwa akijitambulisha kuwa mmoja wa "wapambanaji dhidi ya ufisadi," waliopachikwa jina la "Mitume kumi na miwili," sasa anatajwa kuhamia rasmi mtandao wa Lowassa. Gazeti hili limepata ushahidi wa maandishi ya mkono wa Beatrice mwenyewe yanayoonyesha kuwa amekuwa mfuasi muhimu wa Lowassa kiasi cha kushawishi wengine kujiunga katika mtandao wake. Akiandika kwa Pindi Chana, mbunge wa Viti Maalum (CCM), tarehe 14 Februari mwaka huu, Beatrice alieleza mambo matatu katika ujumbe wake kwa Chana. Kwanza, kumshukuru Chana kwa kukubali kulinda kura zake. Pili, kumshawishi kumuunga mkono Lowassa. Tatu, kumweleza juu ya ulokole wake na "mtumishi aliyepakwa mafuta" kutoka Nigeria. Beatrice anamwambia Chana kuwa Lowassa ndiye kampeni meneja wake. Hii ilikuwa katika uchaguzi wa makamishina wa Bunge; nafasi aliyogombea na kushinda. "Mungu ni wa ajabu, (Lowassa) ameniombea kura pasipo maelezo. Ameandaa lunch na dinner (vyakula vya mchana na usiku) ambako amekuwa akiniombea kura. Ana njia za ajabu za kufanya mambo. Ahsante kwa kukubali kuhesabu kura," inasema sehemu ya ujumbe huo. Chana, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, ndiye alihesabu kura za Beatrice kwenye uchaguzi wa kutafuta makamishina wa Bunge. Ni kwenye ujumbe huo ambamo Beatrice anatoboa kuwa siri ya ushindi wake ni Lowassa aliyekuwa kampeni meneja wake. Katika kusisitiza hoja yake, Beatrice anasema, "Nimezungumza na TB Joshua wa Emmanuel TV Nigeria aliyenipa unabii kuwa rais ajaye Tanzania ni Edward Lowassa, nikamuambia haiwezekani kwani amechafuka sana." Anasema Joshua alimjibu, "…alikuwa amechafuka sasa amesafishwa kwani katubu. Akaniambia his past is over (maisha yake ya nyuma si kitu). Akaongeza kwa kusema, wewe Beatrice ningeangalia your past (maisha yako ya nyuma) pengine nisingekuombea kabisa. Akasema my past is over (hajali maisha yangu ya nyuma)," inasema sehemu ya ujumbe huo wa Beatrice. Hata hivyo, Beatrice hakueleza katika waraka wake kwa Chana maisha yake ya nyuma yalikuwa vipi. Wala hajaeleza alifanya nini, hadi kuamini kuwa kama Nabii Emmanuel angeyatazama, basi asingemuombea. Kuvuja kwa taarifa hizi kumekuja wiki tatu baada ya Lowassa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje. Mume wa Beatrice, William Shelukindo alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo iliongoza harakati za kuundwa Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza mkataba tata wa Richmond. Ni taarifa ya kamati hiyo iliyosababisha Lowassa kujiuzulu wadhifa wake wa waziri mkuu, Februari 2008. Kwa mujibu wa watu waliokaribu na Beatrice na kwa ushuhuda wake mwenyewe, mwanasiasa huyo ameamua kujisalimisha kwa Lowassa kwa kile kinachoelezwa kuwa "Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania." Aidha, kupatikana kwa taarifa hizi kumekuja huku kukiwa na juhudi kubwa zinazofanywa na Lowassa na kundi lake kutaka kujisafisha kwa lengo la kujitosa katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2015. Miongoni mwa mikakati aliyojiwekea Lowassa na kundi lake ni kujitokeza katika maeneo yote muhimu na kutoa kauli ambazo zitafanya wananchi waanze kumkubali kuwa ni kiongozi anayefaa. Katika kutekeleza mkakati huo, Januari mwaka huu, Lowassa alijitokeza kuzungumzia vurugu zilizotokea mkoani Arusha zilizotokana na mvutano katika uchaguzi wa meya wa jiji hilo kati ya CCM na CHADEMA. Katika mnyukano huo, watu watatu walipigwa risasi na polisi na kufariki dunia baada ya polisi kutumia nguvu isiyo ya kawaida kuzima maandamano ya CHADEMA. Kauli hiyo ya Lowassa ilikuwa tofauti na msimamo wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtaka kuwasilisha maoni yake katika vikao vya chama badala ya kutumia vyombo vya habari. Kauli nyingine ya Lowassa ilihusu nyongeza ya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi, kutokana na kile alichoita mfumuko wa bei kuwa mkubwa. Bali wiki moja iliyopita, Naibu Katibu Mkuu wa vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholas Mganya alimtuhumu Lowassa kwa kutoa kauli hiyo akisema ana ajenda ya siri nyuma yake. Mgaya alisema TUCTA haihitaji msaada wa Lowassa katika kusimamia madai yao. Alisema "mbunge huyo wa Monduli inaonekana ana ajenda yake mgongoni." Hatua nyingine ya Lowassa katika kujikarabati kisiasa ni kugombea na kupata nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Lowassa amekuwa pia akihudhuria hafla nyingi, hasa za madhehebu ya Kikiristo (KKKT) ambao anaonekana akitoa maoni mbalimbali kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita ukumbi wa Dimaond Jubilee kwenye uzinduzi wea albamu ya moja ya kwaya za injili. Kwenye kusanyiko hilo, Beatrice naye alikuwepo. Lowassa alimtaka asome maoni ya gazeti la The Citizen juu ya ushirikina uliokithiri nchini; jambo ambalo Lowassa alizungumzia kwa urefu. ----------- lilipowasiliana na Beatrice ili kupata maoni yake juu ya ushwahiba wake mpya na Lowassa, mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mwandishi: Tusaidie maelezo kidogo juu ya ujumbe uliomwandikia Mheshimiwa Pindi Chana kumjulisha kuwa uliambiwa Edward Lowassa atakuwa rais. Ni kweli? Beatrice: Barua ameandika nani na umeipata wapi? Mwandishi: Hii barua fupi – memo ndani ya Bunge, uliposema Mheshimiwa Lowassa ambaye amesimamia vizuri kura zako za ukamishna wa Bunge. Beatrice: Sina taarifa hiyo. Wala siikumbuki. Unajua ndani ya Bunge tunaandikiana mambo mengi, tena mengine ya utani tu. Na mimi na Mheshimiwa Chana sote ni "walokole," tunafanyiana utani sana. Mwandishi: Kwani mheshimiwa Shelukindo, mkiwa ndani ya bunge kuna utani mwingi, kwamba huwa mnaandikiana utani sana? Beatrice: Kabisa, unajua tunaandika mambo mengi. Na kama unaandika kwa utani kwa mwenzako inabaki hivyo ni utani tu. Sasa tatizo hao wanaowaletea mambo haya wanatumia mambo haya kutafuta mipango yao ya kufikia mwaka 2015. Alisema, "Mimi najua hakuna anayenibeba ndugu yangu. Mimi ni very solid (ngangari), sibebeki. Nakwambia, mbona mimi nina nguvu nyingi mimi mwenyewe; sihitaji kubebwa. Najua wanajaribu kuonyesha tunabebwa, lakini huo ni ujinga wao wa kufikiri. Mwandishi: Mheshimiwa Shelukindo, kwani nyie waheshimiwa huwa mnatafutana (kufitiniana)? Beatrice: Hiyo inafanyika sana, watu wakishakuwa na mambo yao wanatumia wengine kutimiza dhamira zao. Lakini mimi ninafikiria wananchi. Nimeshaamua kwamba Beatrice nashughulikia shida za wananchi jimboni. Ninatafuta njia za kuwaondolea umasikini, njaa na mambo kama hayo. Sasa wengine wanatafuta tu pa kunishika. Mwandishi: Kwa hiyo Mh. Lowassa ndiye alikuwa kampeni meneja wako katika kutafuta ukamishna pale bungeni, au siyo Mheshimiwa? Beatrice: Lakini kama anafanya kazi ya kampeni vizuri; ni vizuri tu. Isipokuwa kila mtu anajichukulia mwenyewe alivyo. Mimi ni mtu wa kazi sihitaji kusimamiwa hivyo. Na hebu tujadili hili; unajua kaka nyinyi mnafanya kazi kubwa. Sasa hii kusikia, sijui ----------- hivi, sijui hivi, pengine kuna watu wanachomekea vitu vyao. Tunapenda kazi yenu. Mwandishi: Mheshimiwa nakushukuru sana. Beatrice: Karibu sana tutafanya kazi pamoja. Akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, mume wa Beatrice, William Shellukindo, alikuwa na msimamo mkali dhidi ya watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini na hiyo ndiyo inayoelezwa kuwa sababu ya kushindwa kwake ubunge katika mchakato wa ndani ya CCM. Shellukindo alikuwa mbunge wa jimbo la Bumbuli mkoani Tanga kwa zaidi ya miaka 20, alishindwa katika kura za maoni na January Makamba, mtoto wa katibu mkuu wa CCM anayetajwa kuwa mfuasi wa mtandao wa Lowassa. S0urce by ----------- – 9 March 2011View attachment 187622View attachment 187623View attachment 187622
 
nakupongeza kwa kuandika facts nyingi ila katikati ya story umezidisha pumba, nahisi wewe ni mfuasi wa kambi fulani. any way next time kwa thread ndefu kama hii plse try to be neutral
 
Nyinyi kila kukicha mnakuja na thread zenu za kumsakama lowassa,why anawanyima raha kiasi hicho? Kwa taarifa yenu mnavyozidi kumsakama ndo anavyozidi kupata public attention,mtake msitake lowassa ndo rais hilo hata wama wanalitambua Ocampofour, Pasco, MR.PRESIDENT, hebu njooni mumskie huyu nae sijui kaamkia jicho gani leo
 
Last edited by a moderator:
nakupongeza kwa kuandika facts nyingi ila katikati ya story umezidisha pumba, nahisi wewe ni mfuasi wa kambi fulani. any way next time kwa thread ndefu kama hii plse try to be neutral
Nimekupongeza kwaanalysis yako ila ungeweka hayo unayoona mabaya ili nihukumiwe kwa hayo na watu wayaone kuwa ni pumba
 
Point less!! mxiiiiiii
 
Nyinyi kila kukicha mnakuja na thread zenu za kumsakama lowassa,why anawanyima raha kiasi hicho? Kwa taarifa yenu mnavyozidi kumsakama ndo anavyozidi kupata public attention,mtake msitake lowassa ndo rais hilo hata wama wanalitambua Ocampofour, Pasco, MR.PRESIDENT, hebu njooni mumskie huyu nae sijui kaamkia jicho gani leo

Chagua kinywaji nikupe wangu!!
 
Me sio mfuasi wa chama chochote ila uwa napenda kufuatilia hawa wana siasa, hasa za chadema na ccm kwa upande wa chadema mtarajiwa wao kapoteza sifa moja ya kutokuwa na busara, kwa kufanya mambo ambayo sio reasonable, na upande wa lowasa katumia nguvu sana kuwaraghai madereva bodaboda hii inaonesha jinsi gani alivyo dhaifu kisiasa, kwa upande wa membe anaonekana ni mtu mwenye busara na anaweza uongozi ila ana maamuzi magumu ila ndiyo raisi mwaka 2015 huu ni itabiri ila me sio mchungaji nimetumia akil ya kawaida na e s p
 
Ngoja nao wakatolewe kafara!
[FONT=courier
new]Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu mwaka 2008 kwa
kashfa kubwa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, ametuma ujumbe wa
watu wawili waende Nijeria kukutana na Pastor TemitopeBalogun Joshua
a.k.a. Prophet T.B. Joshua ambaye 'alimtabiria' Mbunge Beatrice
Shellukindo kuwa Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi wa
mwaka 2015.

Wajumbe hao wa Lowassa ni mtoto wake Frederick Lowassa na mshauri wake
mkuu wa masuala ya vyombo vya habari, Absalom Kibanda, ambaye ni mhariri
wa gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA,
Freeman Mbowe.

Frederick na Kibanda wako safarini Nijeria kwenda kuchukua 'upako' ili
wamletee Lowassa asafishe nyota na kuepuka na dhoruba kubwa ya kisiasa
katika kipindi hiki kigumu ambacho wajumbe wa NEC ya CCM wamedhamiria
kuwafukuza mafisadi kwenye chama, akiwemo Lowassa, Andrew Chenge na
Rostam Aziz.

Wajumbe hawa wa Lowassa wanatarajiwa kukutana na TB Joshua siku ya
Jumapili Juni 12, 2011, ambayo mchungaji huyo atakuwa anasherehekea
birthday yake na atawapa "dawa" wamletee Lowassa Tanzania ili asafishe
nyota yake.

Ikumbukwe kuwa 'nabii' huyu wa Nijeria aliwahi kumwambia Mbunge wa CCM,
Beatrice Shellukindo, kuwa anatabiri Lowassa atakuwa Rais ajaye wa
Tanzania.

Beatrice, ambaye mume wake William Shellukindo, aling'olewa ubunge
kwenye jimbo la Bumbuli na kina Lowassa-Rostam-Chenge na kisha
wakamuweka January Makamba, sasa amehamia kwenye kambi ya kumpigia debe
Lowassa awe Rais pamoja tuhuma kubwa za ufisadi dhidi yake, ikiwemo
kujilimbikizia sana mali, ufisadi wa Richmond, kununua hekaru la sh
bilioni 1 London na mengine mengi.

Siri
ya Edward Lowassa nje | Gazeti la
-----------

Eti huyu fisadi kweli anadhani atakuwa Rais wa Tanzania?
[/FONT]
 
atahangaika sana ..atazunguka duniani nzima hizo ndoto za kuwa raisi azifute kabisa akili kwake huyu fisadi kama walivyo mafisadi wenzake ccm
 
[h=2]Paroko acharaza bakora Wasabato[/h]
quote_icon.png
By Lovebird
picha tafadhali

10653744_800015986707482_4240973878935191888_n.jpg
 
Back
Top Bottom