Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

HUDUMA YA TB CHUKIZO LA UHARIBIFU AFRIKA
Mathayo 7:7-11
(a) Ombeni Nanyi mtapewa
(b) Tafuteni nanyi mtaona
(c) Bisheni nanyi mtafunguliwa
(d) Kwa maana kila aombaye hupokea
(e) Naye abishae atafunguliwa
(f) Au kuna mtu kwenu ambaye mwanae alimuomba mkate akapewa jiwe?
(g) Au akiomba Samaki akapewa Nyoka?
HOJA ZA MSINGI
(1) SASA INAKUAJE WATU 115 WATOKE MATAIFA MBALI MBALI WAENDE KWA TB JOSHUA KUMBA UZIMA WAKA AMBULIA MAUTI ????
(2) ROHO YA MAUTI INATOKA KWA SHETANI NA HAPO TUNAPATA PICHA KWAMBA TB JOSHUA NI MTOTO WA SHETANI KIROHO
(3) HUDUMA YA TB ILIJENGWA KWA MISINGI YA SHETANI NA IKAWA SANAMU ILIYOINULIWA BARA LA AFRIKA NA KUPALILIWA NA WAFALME DHALIMU WENYE KUPENDA MADARAKA NA HIVYO IKAWA CHUKIZO LA UHABIFU MBELE ZA MUNGU ALIYE HAI.
(4) MARAIS WENGI, WAFANYA BIASHARA WENGI, WATAWALA WENGI WAMEKUWA WANAKWENDA HAPA KUNUNUA MAJI YA KISHIRIKINA NA BAADA YA HAPO WANAMUINUA TB NA KAZI ZAKE NA SIO YESU HAPA HAKUNA TOFAUTI NA HUDUMA YA KIKOMBE CHA BABU WATAWALA WENGI WALIFIKA HAPO LOLIONDO NA KUNYWA KIKOMBE NA MWISHO WALIKIINUA KIKOMBE NA SIO YESU, MWISHO WA SIKU WATU WENGI WAMEKUFA KWENYE FOLENI YA KIKOMBE
(5) UMATI ULIFULIKA KWA TB HAUWEZI KUTHIBITISHA KUWA HAPO KUNA MUNGU WA KWELI KWA KUWA NJIA IENDAYO UZIMANI NI NYEMBAMBA NA KUNA WATU WACHACHE WANAPITA NA NJIA IENDAYO KUZIMU NI PANA NA KUNA KUNDI KUBWA HAPO.
(6) WATU WOTE WANAO KWENDA KWA TB AMBAPO TB ANADAI KUWA NI HUDUMA YA KILOKOLE HAWATUBU DHAMBI . TUMESHUHUDIA WATAWALA KUTOKA TANZANIA NA MALAWI WANAKWENDA KUTAFUTA UTAWALA HUKO HUKU WAKIKWEPA TOBA NA WANAPOREJEA WANAENDELEA NA WIZI NA MACHAFUKO.
(7) Hata Babu wa Loliondo alisema kwamba umati wa kutisha zaidi ungekwenda kwake tena. Mpaka kesho, hilo halitakaa litokee tena!
(8) Huduma ya Joshua ilijengwa kwenye mchanga: Kutabiri maafa!!!! Nani mjinga atakayemsikiliza tena Joshua akitabiri maafa, baada ya Jengo lake mwenyewe kuanguka na kuua watu 115, bila Joshua mwenyewe kutabiri juu ya hilo kabla????
(9) Huduma ya TB Joshua kwa kuwa ilitoka kwa Ibilisi, imefikia kikomo, kama huduma za Theuda na Yuda Mgalilaya, katika Biblia (MATENDO 5:36-37). "Tazama yuavunja, wala haiwezekani kujenga tena" (AYUBU 12:14).
(10) HAIJAPAKUTOKEA KATIKA BIBILIA AMBAPO MTUMISHI WA MUNGU ALIKUSANYA WATU KWA AJILI YA NENO LA MUNGU ALIYEHAI KWA NIA YA KUTUBU NA KUMUSIKILIZA NA KUSIKILIZA NENO LA MUNGU HARAFU WATU 115 WAKAFA KABLAYA TOBA.
(11) UPO USHAHIDI WA KUTOSHA NDANI YA BIBLE KUWA MUNGU ALIANGAMIZA WATU PALE WALIPOKUSANYIKA KINYUME CHAKE NA KUASI NENO HUKU WAKIFANYA DHAMBI YA ZINAA NA ZINGINEZO.
 
1.png


2.png


3.png
 
Watajuta kwa kutabiriwa na nabii wa uongo.

Kila siku tunawaambia humu,acheni kumlisha tbj maneno!

Tbj hajawahi kutoa unabii juu ya hii nchi,hajawahi kutoa unabii kuhusu lowasa!!
Hizi ni propaganda cjui tuwaambiaje muelewe!

Kwa ambae ana uhakika na hili atupe link
 
Baada ya kufuatilia habari nyingi na majadiliano mengi kuhusu mambo mbalimbali nimegundua kuwa wengi wetu hatuna habari sahihi, na hoja zetu nyingi zinatokana na kushuku na kusikia bila kuwa na habari sahihi za kile kinachozungumzwa. Ni vigumu kupata habari toka serikalini kwani vikwazo ni vingi sana; huwezi kusoma mkataba fulani hadi uwe unahusika katika utekelezaji wa mkataba huo, huwezo kupewa habari kwani "msemaji" hayupo, n.k Ndugu zangu tatizo ni kuwa hatuna sheria inayolazimisha vyombo vya serikali (wizara, idara, mawakala nk) watoe habari kwa raia.

Ni kwa sababu hiyo basi inakuwa vigumu sana kupata habari sahihi na zisizofichwa fichwa. Leo hii ukitaka kuona mikataba ya madini, nishati n.k huwezi kupewa kwani ni ya siri! Kinachoudhi zaidi ni kuwa wabunge wa Upinzani ndio wanaonekana wakisema mambo ya maana bungeni na kuhoji mambo ya msingi!! Hivi wabunge wa CCM wanakilisha watu gani? Hivi haiwaumi wao malalamiko ya wananchi!! Hivi wote ni waoga hakuna wale waenda peke (mavericks)?

Ninachosema ni kuwa wakati umefika Bunge badala ya kuomba taarifa toka serikalini, au kwa viongozi wa serikali litunge na hatimaye sheria ipitishwe yenye kulazimisha vyombo vya serikali kutoa habari kwa uhuru kwa wananchi bila kuficha vingevyo chombo hicho kinatozwa shilingi milioni 10 kwa kila siku inapochelewa kutoa taarifa hiyo, na viongozi wake wanatozwa laki moja kwa kila siku wanachelewa kutoa habari hizo! Sheria hii ijulikane kama "Sheria ya Uhuru wa Habari". Hii italazimisha mikataba kujulikana na kuwekwa wazi, itatufanya tujue nani amefanya nini na wapi, itatusaidia kutambua ni wapi kwenye udhaifu! Ama sivyo tutaendelea kuota, na kuombea watuonee huruma na kutupa habari!!!!

Wewe unaongea nn?
Hivi Una uhakika na unayoyaongea kuhusu tbj?

Kwa taarifa yako km hujui kitu uliza sio kuongea tu!

Eti alishindwa kuona ,pole sana,tunaofuatilia 24/7 aliongea na alijua!

Eti el alitabiriwa,
Tumeshawaambia humu tbj hajawahi kutoa unabii kumhusu el, tupeni link tuone!

Acheni kumlisha maneno tbj!
 
Hakuna cha nabiii wala upako apo..Imani ni vile utakavyo hisi,fikiria wewe..!Kuna haja gani ya kufunga safar had kwa TB wakati ukikaa nyumban na ukiomba kwa imani iliothabiti kila kitu kinawezekana..."imani hata ikiwa mfano wa chembe ndogo ya haradani..inaweza kuamisha milima"
 
Kila siku tunawaambia humu,acheni kumlisha tbj maneno!

Tbj hajawahi kutoa unabii juu ya hii nchi,hajawahi kutoa unabii kuhusu lowasa!!
Hizi ni propaganda cjui tuwaambiaje muelewe!

Kwa ambae ana uhakika na hili atupe link

We soma habari vizuri, alitabiri
 
MAGUFULI ndo mpago wa mungu kwa faida ya watanzania masikini na viongozi wachapa kazi
 
Watanzania tusiwe na shaka, Mungu atatuchagulia rais afaaye, Mungu anampango mzuri na Tanzania hivyo haina haja ya kupiga kelele kwa jazba kwani kwakufanya hivyo tunajiumiza pasipo sababu. Tumwachie Mungu.
 
Hao wameenda kuchukua waganga wa kienyeji wanajifanya wanaenda kwa TB Joshua kama geresha tu. Wamefuata waganga wa kienyeji huko.

Kumbe waganga wa Nigeria wamewazidi wa Bagamoyo kwa "utaalamu"?
 
Hakuna cha nabiii wala upako apo..Imani ni vile utakavyo hisi,fikiria wewe..!Kuna haja gani ya kufunga safar had kwa TB wakati ukikaa nyumban na ukiomba kwa imani iliothabiti kila kitu kinawezekana..."imani hata ikiwa mfano wa chembe ndogo ya haradani..inaweza kuamisha milima"

Umesema kweli. Wanaohangaika hivyo wamepungukiwa na imani. Ni kama Thomaso hawaamini mpaka waone na kuombewa. Hata hivyo El alikwenda kwa matibabu na siyo kuomba urais.
 
Back
Top Bottom