Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Kabisa, ni utaratibu mbaya sana. Kwa kuwa yeye alitembea kwa mguu kwenda kusoma shule za mbali, anataka na wanae watembee umbali mrefu kwa mguu kwenda masomoni ilhali nyumbani kuna magari na mabasi ya shule pia yapo. Kwa kuwa ali skip lunch, basi anatana na wenzake wa skip. Hii haikubaliki. Ni mentality mbaya sana ya kimaskini.Naiona shida ya kuwapa uongozi watu waliopitia kwenye dhiki watataka tuishi kama wao walivyopita.