Lowassa afafanua kutoonekana kwake misibani

Lowassa aliliambia gazeti hili jana kuwa, kilichomkwamisha kufika kwenye misiba hiyo ni kuwa safarini Afrika Kusini alikokwenda kumuangalia mdogo wake, Bahati Lowassa aliyekuwa mgonjwa.

Haya wana CHADEMA familia ya Lowasa wakiumwa wanaruka na ndege kwenda kutibiwa nje ya nchi.Na mtu anayewapelekea uji kwenda kuwaona naye anabeba uji kwenye ndege anaenda kuona mgonjwa wake nje ya nchi.Nyie wagonjwa wenu wakilazwa mnapanda daladala na michupa ya uji kuwahi hospitali za nchini.Lowasa sio mwenzenu
 
Huyu ndio mleta mabadiliko wa Nyumbu ambae hata homa ya mdogo wake tu anampeleka Africa kusini!!!!!!!

Chadema wanayohubiri na wanayotenda ni tofauti kabisa
kuna shida gani kama mtu ataenda kutibiwa hata mapunye tu ulaya ukizingatia anatumia hela yake!
 
Haya wana CHADEMA familia ya Lowasa wakiumwa wanaruka na ndege kwenda kutibiwa nje ya nchi.Na mtu anayewapelekaea uji kwenda kuwaona naye anabeba uji kwenye ndege anaenda kuona mgonjwa wake nje ya nchi.Nyie wagonjwa wenu wakilazwa mnapanda daladala na michupa ya uji kuwahi hospitali za nchini.Lowasa sio mwenzenu
ulitaka familia ya Lowasa iwatibu wagonjwa wote wa wanachadema!!!alifanya hivyo alipokuwa sisiem?
 
Haya wana CHADEMA familia ya Lowasa wakiumwa wanaruka na ndege kwenda kutibiwa nje ya nchi.Na mtu anayewapelekaea uji kwenda kuwaona naye anabeba uji kwenye ndege anaenda kuona mgonjwa wake nje ya nchi.Nyie wagonjwa wenu wakilazwa mnapanda daladala na michupa ya uji kuwahi hospitali za nchini.Lowasa sio mwenzenu

Sijaelewa unamaanisha nini wewe ila nasadiki ule utafiti wa 1/4
 
hushangai serikali inadaiwa hadi madeni ya mahindi ya walalahoi..
deni la misaada ya wahanga hilo sisemi..
 
Huyu ndio mleta mabadiliko wa Nyumbu ambae hata homa ya mdogo wake tu anampeleka Africa kusini!!!!!!!

Chadema wanayohubiri na wanayotenda ni tofauti kabisa
Ivi huyo Bahati Lowasa Unamfahamu, au unafkiri kula kulala kama wewe na kutegea buk7 za Lumumba, alafu soma ufafanuzi wake vizur na uwelewe, Yeye amekwambia alienda kumwangalia Mdogo wake s.a... Labda kama angesema alimpeleka ndo ungeanza kutoa unafki wako
 
"Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu," -
Peter Msigwa/Mbunge-Iringa Mjin
'Anayemshabikia Lowasa apimwe akili' (Peter Msigwa, Mbunge, Iringa Mjini). Huyo jamaa ni tapeli la kisiasa lichumia tumbo linalotumia mtaji wa mdomo na watu anaowahadaa kujinufaisha!
 
"Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu," -
Peter Msigwa/Mbunge-Iringa Mjin
Achana na Msigwa ni tapeli yule mchumia tumbo
 
Pamoja na kashfa zoteee na matusi mengi, bado Lowasa kajibu kwa unyenyekevu mkubwa na ustaarabu wa hali ya juu, angekuwa fulani hapa povu lingemtoka na kuamuru maombi kwa malaika kuvunga mitandao yaongezwe kwenye wimbo wa taifa.
 
Kwa nini watu wanahoji sana kutoonekana kwake wakati Mwinyi, Msuya, Salim na wengine wazamani hawajaonekana? Hii ndiyo inadhihirisha kuwa Lowassa yuko mioyoni mwa watu wote hasa zaidi ccm
Wanahoji kuonekana kwake kwa sababu Sitta ndiyo alimsurubu kwenye Richmond, wananchi wanataka kuona jamaa kama bado ana kinyongo.
 
Back
Top Bottom