Sk lowassa akiwa rais nitarud kwet kg kwa mguu.
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.
Usifanye maskhara katika haya mambo.
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.
Usifanye maskhara katika haya mambo.
Hiyo ndo siasa...
Shauri yenu mnaofukuzwa vyuo...kujeruhiwa kwenye maandamano kwa sababu ya Siasa....
Ukishaona mfumo huu wa kuridhishana nafasi zilizoachwa wazi katika mazingira ya kisiasa kuna kitu nyuma ya pazia, kama si fukiafukia basi nani zaidi.
Confirmed.
Nadhani hilo neno hapo juu sio geni kwako. Hivyo nina imani unajua vizuri matumizi ya neno hilo, na utaweza kulihusisha na hii habari.
Wana Ukumbi,
Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.
Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.
Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.
Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?
Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?
Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.
Je, kama Lowassa ni fisadi, kwanini Watanzania wawe nae bega kwa bega kwenye movement zake za kuwania urais?
Kweli maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".
Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.Ni ajabu thread za udaku kama hizi kuachwa muda wote hapa.CHADEMA hakiko Desperate kiasi hiki
Kuhadi!Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
Halafu kwa hoja kama hii ndio unaweza kutuletea katiba kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ????????????????? wewe ulipelekwa huko kuburudishaHela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
Kumbe Zitto ni mkristu hadi amewazuia wakristu wa CDU wasichangie chama cha kikristu.Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
Lowasa sio fisadi bali ni tajiri na kila mtu anatafuta UTAJIRI wenye akili wanatajirika "mazuzu" hata kama ni wasomi wanabaki mikapuku. Kuwa tajiri haina maana wewe ni fisadi, funguka.