Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

lowasa ana mengi mabovu ila basi tu cijui tumelogwa wa tzf

Hatutafuti chungaji, ama kiongozi wa dini, kuhusu uovu hakuna mtakatifu hapa, acha kushikiwa akiri fikiri kwa mapana, vipi kuhusu nyumba zilizouzwa na magufuri hili hujui?
 
Attachments

  • 1444641806192.jpg
    1444641806192.jpg
    36.2 KB · Views: 242
Acha ngebe wewe haujui monduli wewe eti umeme, maji ni shida wewe ----- kweli monduli inamaji ya kutisha na umeme wa kuweka.
 
Nimezunguka karibu jimbo zima la Monduli. HAKUNA MAJI, UMEME, VYOO,Kuna Umasikini wa kutosha! Nimepita Eslalei, Mswakini, Mbuyuni, Nanja, Mti mmoja, Losimingori hali ni mbaya.

Najiuliza huyu lowassa anayegawa mapesa nchi nzima anashindwaje kuendeleza jimbo lake?

Kweli utaendelea kuwa ndema bwila, tunaposema "Mabadiliko" hatumaanishi LOWASA. Tuna maana ya MFUMO wa Utawala na Utendaji kazi. Total systems change. Tunaoshangilia mabadiliko hatumshangilii Lowasa bali pamoja naye tutahakikisha mfumo dumavu uliopo unabadilika kwa wenye maono na dhamira mpya kuiedeleza TZ na watu wake. Tupo objective not subjective. Tuongelee mambo kwa ujumla wake sio mtu. Magufuli hatumchukii bali mfumo uliopo na chama kinachosimamia.
 
Matendo huzungumza kuliko maneno. Ili kuthibitisha mapenzi yake kwa watanzania,angeanza na wa kwao
Gharama,mbinu na muda wa kusaidia jumbo moja ni rahisi,chache zaidi. "Watapenda fedha kuliko kupenda wa kwao".
 
Nimezunguka karibu jimbo zima la Monduli. HAKUNA MAJI, UMEME, VYOO,Kuna Umasikini wa kutosha! Nimepita Eslalei, Mswakini, Mbuyuni, Nanja, Mti mmoja, Losimingori hali ni mbaya.

Najiuliza huyu lowassa anayegawa mapesa nchi nzima anashindwaje kuendeleza jimbo lake?

Jibu moja tu, atasema ccm wamemzuia na ccm hawana maamuzi magumu 😆
 
Hatutafuti chungaji, ama kiongozi wa dini, kuhusu uovu hakuna mtakatifu hapa, acha kushikiwa akiri fikiri kwa mapana, vipi kuhusu nyumba zilizouzwa na magufuri hili hujui?

Ndo maana Lowassa anasema: shut up, kama una ushahidi peleka mahakamani
 
hahahahah mtoa post ujafika monduli aisee, acha kupotosha watu kwa hadithi za kusimuliwa, nimeish sana monduli kaka maji ya kutosha na umeme upo wa kutosha monduli. ckujuta kufanya kazi kule kaka. acha siasa changa hzo bhna
 
Kikwete mwenyeji wa pwani na pwani ni moja ya mikoa mi nne yenye uchumi mbovu sana nchini na wananchi wake wakiishi mazingira magumu sana.
 
nimezunguka karibu jimbo zima la monduli. Hakuna maji, umeme, vyoo,kuna umasikini wa kutosha! Nimepita eslalei, mswakini, mbuyuni, nanja, mti mmoja, losimingori hali ni mbaya.

Najiuliza huyu lowassa anayegawa mapesa nchi nzima anashindwaje kuendeleza jimbo lake?
kama mheshiwa rais alipo ulizwa nchi yako ina kila kitu lakini maskini kwa nn??
Akajibu haelewi
unashangaa nn kwa mbunge?? Ukiwa waziri sio wa monduli sawa, wapo watu hapa wajanja wakusaidia wenzao ukiona baba na mama yake walivyochoka utalia au anatoa ofa nyingi lakini mke na watoto. Choka mbaya
hili unaonaje???
 
Hachana name lowasa kama unapata posho take kura maliza,10 Julia MTU makini, mchapa kazi am aye uwezo wake with wanaujiu so kuanza kumjadiri wakati was kampain am aye atatupa baraza LA mawaziri makini sio washikaji,ccm iko makini name watanzania wanataka mini sio vinginevyo hatutaki ushindi wa kusubili penati mapema tu shang we,

Uliandikaga nini hii?
Muwega mnaedit keyboard zenu eng-swa
 
Nimezunguka karibu jimbo zima la Monduli. HAKUNA MAJI, UMEME, VYOO,Kuna Umasikini wa kutosha! Nimepita Eslalei, Mswakini, Mbuyuni, Nanja, Mti mmoja, Losimingori hali ni mbaya.

Najiuliza huyu lowassa anayegawa mapesa nchi nzima anashindwaje kuendeleza jimbo lake?
Kwa hiyo na wewe ulipata huo mgao wa mapesa kwani ulisema anagawa mapesa nchi nzima.Na kama anagawa mapesa nchi nzima basi hata Monduli keshagawa Monduli si Tanzania pia.Kuhusu vyoo vya aina gani hivyo?Jimboni kwenu kuna vyoo vya aina gani?Wewe acha unafiki hujui Monduli
 
Mh. Lowassa, ulipata kushika nyadhifa mbalimbali katika nchi hii, hadi nafasi ya uwaziri wa mazingira na umasikini! Lakini hukuwahi kuonesha umma kuwa unauchukia umasikini kwa Watanzania, kisa hukuwa Rais wa nchi....! Jana tu ulikuwa unawaahidi Watanzania kumaliza tatizo la maji kote nchini...! Monduli umekuwa mbunge wao kwa miaka 20, tena mara nyingi ukipitishwa bila kupingwa, na ukipingwa unachaguliwa bila hata kupita kuomba kura...! Je, nako ulihitaji cheo gani kwa Wanamonduli ili uwapiganie wapate maji na kuondokana na umasikini?

Kila la kheri....
 
Mmhh....kwa hizi dakika za fungulia mbwa zilizo baki
sidhani kama unaweza badili maamuzi ya mtu.
kiufupi magufuli ndiye rais wa awamu ya tano,
hilo hata Lowasa analitambua fika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom