Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

Swali zuri mkuu. Hawezi jibu. Alafu, cheki hii picha apa. Imepigwa na mtu wa kijijini huko Rombo Mkuu. Mazao yamekauka.. Watu wanasema hakuna njaa

Kwa hivyo wewe mfano ukivunjika mguu basi sio mwili wote unaumwa kwa sababu uliovunjika.ni mguu tu?
Du tatizo mfano wako sio ndugu yangu, na leo hii hakuna soko ambalo hakuna nafaka ya mahidi, mchele maaragwe wala mtama utasemaje kuwa Tanzania kuna njaa
 
Swali zuri mkuu. Hawezi jibu. Alafu, cheki hii picha apa. Imepigwa na mtu wa kijijini huko Rombo Mkuu. Mazao yamekauka.. Watu wanasema hakuna njaa

Kwani hata kama mvua ingekuwepo hayo mahidi ni ya kuvunwa leo? tunachosema ni kweli kuwa kuna tishio la ukame mwaka huu lakini mazao yanayotumika hivi sasa ni mavuno ya mwaka jana mkubwa
 
Uzi mrefu kwa malipo ya 7000 tu.Poleni sana vijana wa Lumumba.
 
We vitu unanunuliwa ununui kwa hela yko utajuaje kupanda
 
Kwani hata kama mvua ingekuwepo hayo mahidi ni ya kuvunwa leo? tunachosema ni kweli kuwa kuna tishio la ukame mwaka huu lakini mazao yanayotumika hivi sasa ni mavuno ya mwaka jana mkubwa
Ndiyo njaa yenyewe hiyo sasa
 
Sisi wananchi tunataka vitendo na sio siasa kama hakuna njaa thibitisheni na sio kulia lia na Lowassa
 
Ni kweli Hakuna njaa nchini ila katika bahazi ya Maeneo ila inchi Inauaba wa chakula lakini serikali inachakula imeifazi ni sawa na baba kuwa na pesa mfukoni alafu familiar inakufa njaa huku baba akijitapa anapesa za kutosha. Ujinga mtupu
 
Njaa ipo na sio lowassa anayezungumzia njaa peke yake mpaka viongzi wa dini tuwe wakweli na wenye huruma kwa watawaliwa
 
Acheni ujinga hivi kwa nini hamjiulizi hicho kilichouzwa chote na wakulima na kumaliza hadi akiba kilienda wapi baada ya kuuzwa, je kipo kwenye mzunguko wa chakula ndani ya nchi ama kiliuzwa nje ya nchi?
 
[Mkubwa hivi njaa inawezekana kuwepo leo Tanzania wakati uku kahama Mchele kilo moja ni 1,200 mpaka 1,500] unachokisema ni uongo mtupu bei ya mchele madukani ni 1700 hadi 2000 , mashineni Kagongwa na Kahama ni 1500 na yenyewe ni kubahatisha sana na mia 6 hadi 1950 . Njaa ipo soon ndo utakanusha au kukubali mwezi wa pili tu
 
NJAA YA MWAKA 1974 ALIITANGAZA NANI ?
 
Arudishe ranch na mashamba tulime chakula wenyewe na sio kuomba chakula kwa wafadhiri
Wafadhiri ndo watu gani? Kwenye signature yako, comfuse ndo nini? You are not serious at all.
 
Du tatizo mfano wako sio ndugu yangu, na leo hii hakuna soko ambalo hakuna nafaka ya mahidi, mchele maaragwe wala mtama utasemaje kuwa Tanzania kuna njaa

Hayo mahidi, mchele maaragwe (sijui ni kitu gani hiki) yanauzwa au yanatolewa bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…