amesema atagawa chakula kwa watu waliopungukiwa na chakula, mtu aliyepungukiwa na chakula maana yake ana njaaNa,
Augustino Chiwinga.
Aliyekua mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA ndugu Edward Lowassa, leo jumapili tarehe 15/1/2017,alikua mjini Bukoba Mkoani kagera.
Ametumia madhabahu matakatifu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,kanisa ambalo pia alitumia madhabahu yake katika kampeni za urais mwaka 2015 kuomba walutheri wamchague yeye katika nafasi ya urais kwa kua yeye ni mlutheri na nchi haijawahi kua na Rais mlutheri tangu uhuru,ametangaza eti kwamba atagawa chakula wa wananchi wanaokabiliwa na "upungufu wa chakula."
Kwanza nasikitika kwa uongozi wa kanisa la KKKT kukubali madhabahu yake yaendelee kunajisiwa na ndugu Edward Lowassa, maana mtu huyu kwa dhambi na mabaya aliyowafanyia watanzania maskini na wanyonge wa nchi hii hafai kukaribishwa wala kusimama katika mimbari mitakatifu ya kanisa. Nina shaka na uadilifu wa viongozi wa kanisa la KKKT Bukoba.
Swali la kujiuliza ni wapi Lowassa na vibaraka wenzake wametoa mamlaka ya kutangaza uwepo wa uhaba wa chakula Tanzania ?
Kwa mujibu wa sheria, mwenye mamlaka ya kutangaza aina yeyote ya majanga au maafa Tanzania ni wakala wa taifa wa usimamizi wa maafa pekee.
Kwa hiyo kitendo cha Lowassa na vikundi vya watu hususani vibaraka wa CHADEMA kutangaza na kueneza habari za uongo kwamba kuna baa la njaa Tanzania inakwenda kinyume na kifungu cha 38(C) cha sheria namba 17 ya Sheria ya usimamizi wa maafa Tanzania ya mwaka 2015,ambacho kinasema
"Mtu yeyote atakayetoa taarifa za uongo na akijua kua sio kweli atakua ametenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini au vyote kwa ka pamoja"
Kupitia nukuu hii ya sheria ni wazi kwamba ndugu Edward Lowassa ametenda kosa na naomba mamlaka husika zichukue hatua kali za kisheria juu yake na wenzake wote wanaosema uongo juu ya hali ya chakula nchini wafunguliwe mashtaka mara moja.
Pamoja na hayo uzalishaji wa mazao ya chakula hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2016 ulikua ni tani 15,528,820 ukilinganisha na mahitaji yaliyokua 12,946,103, hivo kupelekea nchi kuzalisha ziada ya chakula tani 2,582,717.
Kwa maana hiyo ni kwamba taifa linajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 120 (120%)
Sasa sielewi hizi kelele za wapinzani kua njaa imeingia Tanzania zimetokea wapi na kwa misingi ipi, ikiwa wakulima walizalisha ziada ya chakula yaani tani 2,582,717, mpaka kufikia wakaingia tamaa ya kuuza mazao yao katika nchi za jirani mpaka pale serikali ilipoingilia kati .
Ni vema wanasiasa wakaacha kutia wananchi hofu za bure na kupandikiza chuki kwa maslahi yao ya kisiasa, kwani kwa kufanya hivo wanakua hawana tofauti na wahaini kama walivyo wahaini wa aina nyingine.
Huyu Edward Lowassa anayetangaza kugawa chakula tumuulize ni mwanananchi gani aliyemfuata kumuomba chakula, atuoneshe hata mmoja tu au atuoneshe kaburi la mwananchi yeyote aliyekufa kwa njaa.
Alikuyepo Bukoba na Mbunge Lwaktare ,mbunge amsaidie Lowasa kumuonesha mwanachi yeyote anayekabiliwa na "baa la njaa" kama atafanikiwa kumpata hata mmoja.
Kwanza hata ikitokea kweli liwepo ilo "baa la njaa" kama wanavyozusha (MUNGU EPUSHIA MBALI"
Wananchi hawawezi kupokea chakula chake kikichojaa damu jasho ,na dhulma zilizotokana na kuwaibia watanzania.
Ni heri kufa njaa kuliko kupokea chakula kilichotoka kwenye mikono yeye dhambi ya Edward Lowassa.
Huruma hii ya Lowassa ni ghilba na uzandiki tu wa kisiasa. Ingependeza kabla ya kuanza kujisifia kua atawapa watu chakula, kwanza angefanya yafuatayo;
1) Awarudishie wananchi pesa zote alizowaibia.
2) Arudishe mashamba na ranch zote alizopata kwa uporaji na rushwa.
3) Arudishe nyumba na viwanja vyote alivyovitwaa kipindi akiwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo mjini.
4) Arudishe pesa za Richmond.
5) Atueleze kiundani juu ya kifo cha mchungaji Christopher Mtikila.
6) Aweke wazi mali na kampuni anazomiliki na atueleze alizipataje.
7)Aweke wazi taarifa zake za ulipaji kodi.
Ni wazi kuwa CHADEMA na Lowassa wamekosa kabisa agenda ya kuuza chama chao, matokeo yake wanaokoteza okoteza vitu ambavyo havina msingi wowote wa hoja na kuvitumia kumshambulia Mh. Rais Dr. John P. Magufuli, na ni wazi kuwa wanamshambulia Rais yeye binafsi na sio chama cha mapinduzi
Hii inaonesha wazi kuwa wana mpango kabambe wa kumhujumu na kumchonganisha Mh.Rais na wananchi anaowaongoza, lakini kwa bahati mbaya ni kwamba wananchi bado wana imani na CCM na bado wana imani na mapenzi makubwa kabisa na Rais wao mpendwa Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba CHADEMA waache kutumia msamiati wa njaa kuwa agenda yao waache kutumia ghilba husda na uzushi kama kete yao ya kisiasa, kwani Tanzania haina njaa na wawaache watanzania wenye akili timamu wafanye kazi kwa maslahi mapana ya taifa lao.
Augustino Chiwinga.
Nani mwenye mamlaka ya kutangaza hali yoyote ya hatari katika nchi? Mfano wa wazi kabisa ni pale tulivyovamiwa na Nduli Idd Amin Dadaa,Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere akiwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania aliutangazia umma tena ktk mkutano maalumu na vyombo vya habari juu ya uvamizi wa nchi yao kutoka kwa Idd Amin Dadaa.
Mfano wa pili na hata baada ya kutokea kifo cha baba yetu au baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere ni Rais wa wakati huo ndugu Benjamin William Mkapa akautangazia umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari juu ya msiba huo.
Nachotaka kusema kila nchi inautaratibu wake wa kutangaza majanga ya kitaifa naweza kusema labda majanga makuu yanayotokea au yanayotishia kutokea ktk nchi,kwahiyo Watanzania tuwe makini kwa hilo kwani wahenga walisema 'Miluzi mingi ilimpoteza Mbwa muelekeo' kwahiyo Watanzania kama kunatishio lolote la njaa Rais wetu ni mtu wa watu na nimpenda watu na Rais wetu yupo ndani ya jamii hii hii ya Watanzania, kama kunatishio lolote ktk nchi atautangazia umma juu ya tishio hilo kwa sababu yeye ndiye kiongozi mkuu wa Taifa hili teule.
Huko kwenye hizo ranchi mvua zinanyesha!Arudishe ranch na mashamba tulime chakula wenyewe na sio kuomba chakula kwa wafadhiri
Mamlaka ya kumusema na kumupinga Lowassa wewe umeyatoa wapi?.Na,
Augustino Chiwinga.
Aliyekua mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA ndugu Edward Lowassa, leo jumapili tarehe 15/1/2017,alikua mjini Bukoba Mkoani kagera.
Ametumia madhabahu matakatifu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,kanisa ambalo pia alitumia madhabahu yake katika kampeni za urais mwaka 2015 kuomba walutheri wamchague yeye katika nafasi ya urais kwa kua yeye ni mlutheri na nchi haijawahi kua na Rais mlutheri tangu uhuru,ametangaza eti kwamba atagawa chakula wa wananchi wanaokabiliwa na "upungufu wa chakula."
Kwanza nasikitika kwa uongozi wa kanisa la KKKT kukubali madhabahu yake yaendelee kunajisiwa na ndugu Edward Lowassa, maana mtu huyu kwa dhambi na mabaya aliyowafanyia watanzania maskini na wanyonge wa nchi hii hafai kukaribishwa wala kusimama katika mimbari mitakatifu ya kanisa. Nina shaka na uadilifu wa viongozi wa kanisa la KKKT Bukoba.
Swali la kujiuliza ni wapi Lowassa na vibaraka wenzake wametoa mamlaka ya kutangaza uwepo wa uhaba wa chakula Tanzania ?
Kwa mujibu wa sheria, mwenye mamlaka ya kutangaza aina yeyote ya majanga au maafa Tanzania ni wakala wa taifa wa usimamizi wa maafa pekee.
Kwa hiyo kitendo cha Lowassa na vikundi vya watu hususani vibaraka wa CHADEMA kutangaza na kueneza habari za uongo kwamba kuna baa la njaa Tanzania inakwenda kinyume na kifungu cha 38(C) cha sheria namba 17 ya Sheria ya usimamizi wa maafa Tanzania ya mwaka 2015,ambacho kinasema
"Mtu yeyote atakayetoa taarifa za uongo na akijua kua sio kweli atakua ametenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini au vyote kwa ka pamoja"
Kupitia nukuu hii ya sheria ni wazi kwamba ndugu Edward Lowassa ametenda kosa na naomba mamlaka husika zichukue hatua kali za kisheria juu yake na wenzake wote wanaosema uongo juu ya hali ya chakula nchini wafunguliwe mashtaka mara moja.
Pamoja na hayo uzalishaji wa mazao ya chakula hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2016 ulikua ni tani 15,528,820 ukilinganisha na mahitaji yaliyokua 12,946,103, hivo kupelekea nchi kuzalisha ziada ya chakula tani 2,582,717.
Kwa maana hiyo ni kwamba taifa linajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 120 (120%)
Sasa sielewi hizi kelele za wapinzani kua njaa imeingia Tanzania zimetokea wapi na kwa misingi ipi, ikiwa wakulima walizalisha ziada ya chakula yaani tani 2,582,717, mpaka kufikia wakaingia tamaa ya kuuza mazao yao katika nchi za jirani mpaka pale serikali ilipoingilia kati .
Ni vema wanasiasa wakaacha kutia wananchi hofu za bure na kupandikiza chuki kwa maslahi yao ya kisiasa, kwani kwa kufanya hivo wanakua hawana tofauti na wahaini kama walivyo wahaini wa aina nyingine.
Huyu Edward Lowassa anayetangaza kugawa chakula tumuulize ni mwanananchi gani aliyemfuata kumuomba chakula, atuoneshe hata mmoja tu au atuoneshe kaburi la mwananchi yeyote aliyekufa kwa njaa.
Alikuyepo Bukoba na Mbunge Lwaktare ,mbunge amsaidie Lowasa kumuonesha mwanachi yeyote anayekabiliwa na "baa la njaa" kama atafanikiwa kumpata hata mmoja.
Kwanza hata ikitokea kweli liwepo ilo "baa la njaa" kama wanavyozusha (MUNGU EPUSHIA MBALI"
Wananchi hawawezi kupokea chakula chake kikichojaa damu jasho ,na dhulma zilizotokana na kuwaibia watanzania.
Ni heri kufa njaa kuliko kupokea chakula kilichotoka kwenye mikono yeye dhambi ya Edward Lowassa.
Huruma hii ya Lowassa ni ghilba na uzandiki tu wa kisiasa. Ingependeza kabla ya kuanza kujisifia kua atawapa watu chakula, kwanza angefanya yafuatayo;
1) Awarudishie wananchi pesa zote alizowaibia.
2) Arudishe mashamba na ranch zote alizopata kwa uporaji na rushwa.
3) Arudishe nyumba na viwanja vyote alivyovitwaa kipindi akiwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo mjini.
4) Arudishe pesa za Richmond.
5) Atueleze kiundani juu ya kifo cha mchungaji Christopher Mtikila.
6) Aweke wazi mali na kampuni anazomiliki na atueleze alizipataje.
7)Aweke wazi taarifa zake za ulipaji kodi.
Ni wazi kuwa CHADEMA na Lowassa wamekosa kabisa agenda ya kuuza chama chao, matokeo yake wanaokoteza okoteza vitu ambavyo havina msingi wowote wa hoja na kuvitumia kumshambulia Mh. Rais Dr. John P. Magufuli, na ni wazi kuwa wanamshambulia Rais yeye binafsi na sio chama cha mapinduzi
Hii inaonesha wazi kuwa wana mpango kabambe wa kumhujumu na kumchonganisha Mh.Rais na wananchi anaowaongoza, lakini kwa bahati mbaya ni kwamba wananchi bado wana imani na CCM na bado wana imani na mapenzi makubwa kabisa na Rais wao mpendwa Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba CHADEMA waache kutumia msamiati wa njaa kuwa agenda yao waache kutumia ghilba husda na uzushi kama kete yao ya kisiasa, kwani Tanzania haina njaa na wawaache watanzania wenye akili timamu wafanye kazi kwa maslahi mapana ya taifa lao.
Augustino Chiwinga.
Mbona wewe huna hiyo njaaWanachi wanateseka kwa njaa, we unakesha mitandaoni kuendekeza siasa za mihemko...
Poor you.
+Tatizo la nchi hii watu hasa hawa wanaojiita wanasiasa wamelewa amani, kila mtu akipata nafasi kidogo anataka atoe tamko bila hata ya kufuata taratibu kwa kisingizio cha Siasa! watu wanaishi kwa mazowea.Nani mwenye mamlaka ya kutangaza hali yoyote ya hatari katika nchi? Mfano wa wazi kabisa ni pale tulivyovamiwa na Nduli Idd Amin Dadaa,Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere akiwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania aliutangazia umma tena ktk mkutano maalumu na vyombo vya habari juu ya uvamizi wa nchi yao kutoka kwa Idd Amin Dadaa.
Mfano wa pili na hata baada ya kutokea kifo cha baba yetu au baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere ni Rais wa wakati huo ndugu Benjamin William Mkapa akautangazia umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari juu ya msiba huo.
Nachotaka kusema kila nchi inautaratibu wake wa kutangaza majanga ya kitaifa naweza kusema labda majanga makuu yanayotokea au yanayotishia kutokea ktk nchi,kwahiyo Watanzania tuwe makini kwa hilo kwani wahenga walisema 'Miluzi mingi ilimpoteza Mbwa muelekeo' kwahiyo Watanzania kama kunatishio lolote la njaa Rais wetu ni mtu wa watu na nimpenda watu na Rais wetu yupo ndani ya jamii hii hii ya Watanzania, kama kunatishio lolote ktk nchi atautangazia umma juu ya tishio hilo kwa sababu yeye ndiye kiongozi mkuu wa Taifa hili teule.
Tukisema njaa kwa mwananchi mmoja mmoja huwa lipo kila mwaka na watu hujihangaikia huku na huko ilikuweza kujikwamua na njaa, lakini mpaka itangazwe kuwa ni janga la kitaifa nchi haijafikia hatua hiyo ndugu yangu lakini kwa mwananchi mmoja mmoja njaa huwa ipo miaka yote sawaHata kama viongozi wako hawatasema kuwa kuna njaa kwakua wao wameshiba, wananchi wanasema,. Njaaaaaaaa.
Kumbuka juzi wakati mtukufu alipokua Magu anahutubia waliosema njaaaaaa ni wananchi.
Wasiposema watu kuwa kunanjaa hata mawe yatasema.
_Vipi nyumba nyumba zetu alizogawa kwa wanawake zake?
_Vipi hela zetu za kivuko?
_ Vipi hela za tetemeko LA kagera?
Nawashangaa sana viongozi wa dini wanapompa mambali mtu huyu mwenye roho mbaya, asiewapenda wananchi wake hadi kuwambia wafaaaaa. Hafai kupewa nafasi kwani analitumia kanisa kuwadharau, kuwabeza, kuwatukana hata kuwatia hofu watu
Ungeeleza tathmini yako ya tani ngapi imeuzwa malawi,zambia na kenya halafu ujue una tani ngapi.Na,
Augustino Chiwinga.
Aliyekua mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA ndugu Edward Lowassa, leo jumapili tarehe 15/1/2017,alikua mjini Bukoba Mkoani kagera.
Ametumia madhabahu matakatifu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,kanisa ambalo pia alitumia madhabahu yake katika kampeni za urais mwaka 2015 kuomba walutheri wamchague yeye katika nafasi ya urais kwa kua yeye ni mlutheri na nchi haijawahi kua na Rais mlutheri tangu uhuru,ametangaza eti kwamba atagawa chakula wa wananchi wanaokabiliwa na "upungufu wa chakula."
Kwanza nasikitika kwa uongozi wa kanisa la KKKT kukubali madhabahu yake yaendelee kunajisiwa na ndugu Edward Lowassa, maana mtu huyu kwa dhambi na mabaya aliyowafanyia watanzania maskini na wanyonge wa nchi hii hafai kukaribishwa wala kusimama katika mimbari mitakatifu ya kanisa. Nina shaka na uadilifu wa viongozi wa kanisa la KKKT Bukoba.
Swali la kujiuliza ni wapi Lowassa na vibaraka wenzake wametoa mamlaka ya kutangaza uwepo wa uhaba wa chakula Tanzania ?
Kwa mujibu wa sheria, mwenye mamlaka ya kutangaza aina yeyote ya majanga au maafa Tanzania ni wakala wa taifa wa usimamizi wa maafa pekee.
Kwa hiyo kitendo cha Lowassa na vikundi vya watu hususani vibaraka wa CHADEMA kutangaza na kueneza habari za uongo kwamba kuna baa la njaa Tanzania inakwenda kinyume na kifungu cha 38(C) cha sheria namba 17 ya Sheria ya usimamizi wa maafa Tanzania ya mwaka 2015,ambacho kinasema
"Mtu yeyote atakayetoa taarifa za uongo na akijua kua sio kweli atakua ametenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini au vyote kwa ka pamoja"
Kupitia nukuu hii ya sheria ni wazi kwamba ndugu Edward Lowassa ametenda kosa na naomba mamlaka husika zichukue hatua kali za kisheria juu yake na wenzake wote wanaosema uongo juu ya hali ya chakula nchini wafunguliwe mashtaka mara moja.
Pamoja na hayo uzalishaji wa mazao ya chakula hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2016 ulikua ni tani 15,528,820 ukilinganisha na mahitaji yaliyokua 12,946,103, hivo kupelekea nchi kuzalisha ziada ya chakula tani 2,582,717.
Kwa maana hiyo ni kwamba taifa linajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 120 (120%)
Sasa sielewi hizi kelele za wapinzani kua njaa imeingia Tanzania zimetokea wapi na kwa misingi ipi, ikiwa wakulima walizalisha ziada ya chakula yaani tani 2,582,717, mpaka kufikia wakaingia tamaa ya kuuza mazao yao katika nchi za jirani mpaka pale serikali ilipoingilia kati .
Ni vema wanasiasa wakaacha kutia wananchi hofu za bure na kupandikiza chuki kwa maslahi yao ya kisiasa, kwani kwa kufanya hivo wanakua hawana tofauti na wahaini kama walivyo wahaini wa aina nyingine.
Huyu Edward Lowassa anayetangaza kugawa chakula tumuulize ni mwanananchi gani aliyemfuata kumuomba chakula, atuoneshe hata mmoja tu au atuoneshe kaburi la mwananchi yeyote aliyekufa kwa njaa.
Alikuyepo Bukoba na Mbunge Lwaktare ,mbunge amsaidie Lowasa kumuonesha mwanachi yeyote anayekabiliwa na "baa la njaa" kama atafanikiwa kumpata hata mmoja.
Kwanza hata ikitokea kweli liwepo ilo "baa la njaa" kama wanavyozusha (MUNGU EPUSHIA MBALI"
Wananchi hawawezi kupokea chakula chake kikichojaa damu jasho ,na dhulma zilizotokana na kuwaibia watanzania.
Ni heri kufa njaa kuliko kupokea chakula kilichotoka kwenye mikono yeye dhambi ya Edward Lowassa.
Huruma hii ya Lowassa ni ghilba na uzandiki tu wa kisiasa. Ingependeza kabla ya kuanza kujisifia kua atawapa watu chakula, kwanza angefanya yafuatayo;
1) Awarudishie wananchi pesa zote alizowaibia.
2) Arudishe mashamba na ranch zote alizopata kwa uporaji na rushwa.
3) Arudishe nyumba na viwanja vyote alivyovitwaa kipindi akiwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo mjini.
4) Arudishe pesa za Richmond.
5) Atueleze kiundani juu ya kifo cha mchungaji Christopher Mtikila.
6) Aweke wazi mali na kampuni anazomiliki na atueleze alizipataje.
7)Aweke wazi taarifa zake za ulipaji kodi.
Ni wazi kuwa CHADEMA na Lowassa wamekosa kabisa agenda ya kuuza chama chao, matokeo yake wanaokoteza okoteza vitu ambavyo havina msingi wowote wa hoja na kuvitumia kumshambulia Mh. Rais Dr. John P. Magufuli, na ni wazi kuwa wanamshambulia Rais yeye binafsi na sio chama cha mapinduzi
Hii inaonesha wazi kuwa wana mpango kabambe wa kumhujumu na kumchonganisha Mh.Rais na wananchi anaowaongoza, lakini kwa bahati mbaya ni kwamba wananchi bado wana imani na CCM na bado wana imani na mapenzi makubwa kabisa na Rais wao mpendwa Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba CHADEMA waache kutumia msamiati wa njaa kuwa agenda yao waache kutumia ghilba husda na uzushi kama kete yao ya kisiasa, kwani Tanzania haina njaa na wawaache watanzania wenye akili timamu wafanye kazi kwa maslahi mapana ya taifa lao.
Augustino Chiwinga.
Tupitie hoja za Chiwinga"ALWATAN KIZIGO, post: 19321007, member: 114573"]Na,
Augustino Chiwinga.
Kama alivyotumia Rais Magufuli mara nyingiAmetumia madhabahu matakatifu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Shaka hiyo ungeanza nayo na CCM waliokaaanaye miaka mingi tu bila tatizo.Kwanza nasikitika kwa uongozi wa kanisa la KKKT kukubali madhabahu yake yaendelee kunajisiwa na Lowassa, mtu huyu kwa dhambi na mabaya aliyowafanyia watanzania hafai kukaribishwa wala kusimama katika mimbari mitakatifu ya kanisa. Nina shaka na uadilifu wa viongozi wa kanisa la KKKT Bukoba.
Mtu akisema kuna njaa ni maoni yake hayahitaji mamlaka.Swali la kujiuliza ni wapi Lowassa na vibaraka wenzake wametoa mamlaka ya kutangaza uwepo wa uhaba wa chakula Tanzania ?
Wananchi waliomwambia Magufuli wana njaa nao wanakwenda kinyume cha sheriakitendo cha Lowassa na CHADEMA kutangaza na kueneza habari za uongo kwamba kuna baa la njaa Tanzania inakwenda kinyume na kifungu cha 38(C) cha sheria namba 17 ya Sheria ya usimamizi wa maafa Tanzania ya mwaka 2015,ambacho kinasema
Nani amethibitisha kuwa ni uongo?Mtu atakayetoa taarifa za uongo na akijua sio kweli atakua ametenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka 2 kulipa faini au vyote kwa ka pamoja"
Unaombaje achukuliwe hatua ikiwa tayari umeshamchukulia kwa muwita mwongo?Kupitia nukuu ya sheria ndugu Edward Lowassa ametenda kosa na naomba mamlaka husika zichukue hatua kali za kisheria na wenzake wote wanaosema uongo juu ya hali ya chakula nchini wafunguliwe mashtaka mara moja.
Na hizi kelele za Maaskofu na Masheikh zinatoka wapi. Sielewi hata mimiSielewi hizi kelele za wapinzani kua njaa imeingia Tanzania zimetokea wapi na kwa misingi ipi,
Na Masheikh na Maaskofu ''wakome'' kuapndikiza chuki bure kwa masilahi yao ya diniWanasiasa wakaacha kutia wananchi hofu na kupandikiza chuki kwa maslahi yao
Akuonyeshe nini ikiwa umeshasema ni muongo?Huyu Edward Lowassa anayetangaza kugawa chakula tumuulize ni mwanananchi gani atuoneshe hata mmoja tu au atuoneshe kaburi la mwananchi yeyote aliyekufa kwa njaa.
Nani amethibitisha wizi wake? Mahakama imesema haina wateja!Wananchi hawawezi kupokea chakula kikichojaa damu jasho ,na dhulma zilizotokana na kuwaibia watanzania.
Maoni haya ni mazuri ukiwa Sheraton Hotel.Ni heri kufa njaa kuliko kupokea chakula kilichotoka kwenye mikono yeye dhambi ya Edward Lowassa.
Pesa aliiba wapi?Huruma hii ya Lowassa ni ghilba na uzandiki tu wa kisiasa. Ingependeza kabla ya kuanza kujisifia kua atawapa watu chakula, kwanza angefanya yafuatayo;
1) Awarudishie wananchi pesa zote alizowaibia.
2) Arudishe mashamba na ranch zote alizopata kwa uporaji na rushwa.
3) Arudishe nyumba na viwanja vyote alivyovitwaa kipindi akiwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo mjini.
Akiwa CCM kwanini hamkumuuliza?4) Arudishe pesa za Richmond
Atasema hajui, hawezi kueleza kama hakuna mashtaka. Ana hiari5)Atueleze kiundani juu ya kifo cha mchungaji Christopher Mtikila.
Kama nani mwingine aliyewahi kuweka wazi?6) Aweke wazi mali na kampuni anazomiliki na atueleze alizipataje.
Tume ya maadili si ina taarifa zote kwanini usiombe iweke wazi unamtaka mtuhumiwa wako?.7)Aweke wazi taarifa zake za ulipaji kodi.
Hapana Rais na Raia wake, aliwaambia wanataka akawapikie?Hii inaonesha wazi kuwa wana mpango kabambe wa kumhujumu na kumchonganisha Mh.Rais na wananchi anaowaongoza