Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

Hata wanaofanya ushabiki, wanajua kwamba kwa ushabiki wao wanakuwa wanafiki
mimi nasema neno moja tu " Mungu anawaona"
 
Huyu ni kichaaaa kama vichaaa wengine aka mtoaa post
 
Hivi ndg ninyi mlipewa dawa gani na hili mi ccm hadi mnatetea hata ujinga?
Wiki mbili zilizopita wabunge wote wa mkoa wa mara bila kujali itikadi zao walikutana na kutoa wito kwa serikali iingilie kati kuhusu njaa mkoa wa Mara.
Tena ktk mikutano huo alikuwepo waziri wa nishati na madini, walilitangazia taifa kuwa hali ya chakula ni mabaya na kuitaka serikali kuchukua hatua Mara moja.
Hivi ninyi mmelogwa mbona mnakua na mahaba yanayozidi utu. Yaani nyie chama chenu na magufuri wenu tu hata kama watanzania waliowengi wakifa?
Acheni hizo Mungu anawaona
 
Mtamzungumzia lowasa mpaka mwisho wa uhai wake, kwani nani mwenye hakili timamu ambaye hajui kuwa kuna janga la njaa?
 
Mwantumuuuuu kwan wee munyu yko ni ipiiii(in joti voice)
 
Hii mijadala mingine Mungu atusamehe .Karagwe na Kyerwa hifadhi ya taifa walishapeleka matani mengi tu ya chakula tena watu kugawiwa kama msaada.Ss tunakuja kuongea kwenye screen za cm kusubiri kutangaziwa balaa la njaa.Haki ya Mungu siasa zitakuja tuua mchana kweupe.
 
UJINGA NI MZIGO MAVI.Usamehewe tu.Mwingine akisimama madhabahuni kuongelea serikali kutumbua huyo ni mtakatifu lkn EL akiongelea kweli ni mchonganishi.
Mungu anakuona
 
Mwenye njaa anasema -KUNA NJAA-,aliyeshiba anasema -HAKUNA NJAA-.

Mi nadhani wote tuko sawa!wanaosema kuna njaa na wale wanaopinga!

Sitegemei waziri au mbunge wa C.C.M akaongea ukweli kuwa kuna njaa kwani nao wanaogopa kukutwa na NJAA!
 
Povu la nini! Kama anasema uongo na nikosa kisheria pelekeni mahakamani tutajua mbivu na mbichi. Bla bla kama hizi hazitosaidia chochote.
 
Watu wakikuchukia watatafuta ya kukusemea. hatakama walisikia tu kwa watu wengine na hawajashuhudia wenyewe watapaaza sauti zao kukushutumu. angalia wanaouawa na wanaosemwa wanachi wenye hasira. mtu akakuponda kwa tofali hata kama kalikuta tu tukio. si wote wanaouawa hivi wana makosa bali tu udaku wa binadamu1
Yesu alisema; " Asiye na dhambi aew wa kwanza kurusha jiwe..."
 
Bangi uliyovuta siku nyingi inakusumbua wewe.
Unaonyesha wewe ni dhaifu sana ndiyo maana hata hoja zako ni dhaifu sana
 
Uwe unahifadhi maneno kidogo ya kuongea baadae maana hapo ni pointiless
 
Tumia akil kuandika kuliko kutumia makalio yako . mh raisi anapo piga siasa kanisan yeye ni sawa, na kuhusu njaa usiwe mnafik Jaribu kufuatilia uonee wanao lalamika njaa . hekima wakat mwingine wanafik ni wa kuogopa kuliko mchawi
 
Kila ukiulizwa Lowassa alimfanya nini Mama yako husemi...unaishia tu kumsema huku.

Alimtapeli nini ulisema?

Si ufunguke?
 
NCHI INA NJAA

Hata uandike uongo na majungu ya namna gani.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Arudishe ranch na mashamba tulime chakula wenyewe na sio kuomba chakula kwa wafadhiri
Haya mashamba yooote mmewahi kufanya nini zaidi ya kuwatesa wakulima kwa kuwaahidi pembejeo bure za kilimo na kuwapangia bei ya mazao?


NJAA, NJAA, NJAA JAMANI.
 
Na wale wa magu waliomwambia magu kuwa wananjaa akawajibu vile nao wachonganishi
Mdau: "Njaa Baba".

Magufuli: "Sasa nisikilizeni nizungumze nimalize niondoke"

Magufuli: "Njaa unataka nikakupikie mimi Chakula"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…