Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Na wale wa magu waliomwambia magu kuwa wananjaa akawajibu vile nao wachonganishi
Yaani kukupenda wewe kama kada mwenzetu isiwe kua anatupenda sote.Mambo mengine tuachane na siasa uongo..njaa hipo tuNani mwenye mamlaka ya kutangaza hali yoyote ya hatari katika nchi? Mfano wa wazi kabisa ni pale tulivyovamiwa na Nduli Idd Amin Dadaa,Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere akiwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania aliutangazia umma tena ktk mkutano maalumu na vyombo vya habari juu ya uvamizi wa nchi yao kutoka kwa Idd Amin Dadaa.
Mfano wa pili na hata baada ya kutokea kifo cha baba yetu au baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere ni Rais wa wakati huo ndugu Benjamin William Mkapa akautangazia umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari juu ya msiba huo.
Nachotaka kusema kila nchi inautaratibu wake wa kutangaza majanga ya kitaifa naweza kusema labda majanga makuu yanayotokea au yanayotishia kutokea ktk nchi,kwahiyo Watanzania tuwe makini kwa hilo kwani wahenga walisema 'Miluzi mingi ilimpoteza Mbwa muelekeo' kwahiyo Watanzania kama kunatishio lolote la njaa Rais wetu ni mtu wa watu na nimpenda watu na Rais wetu yupo ndani ya jamii hii hii ya Watanzania, kama kunatishio lolote ktk nchi atautangazia umma juu ya tishio hilo kwa sababu yeye ndiye kiongozi mkuu wa Taifa hili teule.
Na tutawakumbusha hawa kina Lowasa na Ufipa wawape wananchi chakula waache porojoWatanzania mwogopeni Mungu kwani Lowassa ndio kaomba chakula? Wananchi ndio wanalalamika acheni roho mbaya
Kwahiyo suruhisho la tatizo hili unalosema la njaa nini,kutoa chakula kwa wananchi tu si ndiyo,kama ni hivyo basi nchi hii kunakitu kinachoitwa ilimradi nishibe tu lakini ya kesho itajulikana hiyo hiyo kesho si ndiyo.Yaani kukupenda wewe kama kada mwenzetu isiwe kua anatupenda sote.Mambo mengine tuachane na siasa uongo..njaa hipo tu
Kwahiyo ukipata tatizo unaanza kwanza kulitatua au unaanza kwanza kuangalia chanzo alafu ndio unalitibu....aaah mfano kuna kipindupindu hapo Chato na watu wanakula je utaanza kuwatibu na kuwaokoa au utaanza na kutafuta chanzo za huo ugomjwa. ..Nilisema tumsifie kada mwenzetuKwahiyo suruhisho la tatizo hili unalosema la njaa nini,kutoa chakula kwa wananchi tu si ndiyo,kama ni hivyo basi nchi hii kunakitu kinachoitwa ilimradi nishibe tu lakini ya kesho itajulikana hiyo hiyo kesho si ndiyo.
Kumbuka tumekuwa tunasumbuliwa na njaa kila mwaka kwa sababu ya nchi ya kukosa mipango ya muda mrefu,tulikuwa na viongozi wanaowaza tatizo litokee tu iliwao wa neemeke na hilo tatizo lakini sasa tunakiongozi anayejiuliza kwanini tunakosa watalii kwa sababu ya kutokuwepo vyombo vya usafiri vya kuwatoa huko waliko na kuwaleta hapa kwetu moja kwa moja,tunakiongozi anasema kwanini nchi inapata mapato kidogo yatokanayo na kodi kwa sababu watu wanakwepa kulipa kodi au kodi zinapatikana lakini zinaingia kwenye mifuko ya watu wachache na hatimae Rais wetu amejitahidi kutatua hilo tatizo.
Mkipata kiongozi wa nchi anayejiulizauliza juu ya mateso wanayopata wananchi wake,huyo ndiye kiongozi.
Ni kweli kabisa Kiongozi, MWENYE JUKUMU LA KUTANGAZA JANGA AU TATIZO LOLOTE LA KITAIFA NI MKUU WA NCHI HUSIKA,, HAO WANAO TANGAZA TANZANIA INA NJAA WAMETOA WAPI HAYO MAMLAKA???? TUHESHIMU MIFUMO YA KATIBA TUHESHIMU MIFUMO YA NCHINani mwenye mamlaka ya kutangaza hali yoyote ya hatari katika nchi? Mfano wa wazi kabisa ni pale tulivyovamiwa na Nduli Idd Amin Dadaa,Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere akiwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania aliutangazia umma tena ktk mkutano maalumu na vyombo vya habari juu ya uvamizi wa nchi yao kutoka kwa Idd Amin Dadaa.