Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

Amini mkuu maghu atatoa hicho chakula sasa hivi ccm wanajipanga kuja kukanusha kwa kusema watu walimwelewa vibaya, maana nimeona tayari dk banna kakanusha watu wamemwelewa sivyo, na hata hivyo ccm hawatakubali hilo litokee iwe maghu ana taka au hataki
 
Siasa ni mchezo mkuu sio fitina.

Hii kwenye pilitiki inaitwa "counter attack"
 
amesema atagawa chakula kwa watu waliopungukiwa na chakula, mtu aliyepungukiwa na chakula maana yake ana njaa
 

Aliyetangaza maafa ya tetemeko bk nani?
 
Achane unafiki,nyie vibaraka Wa ccm,njaa IPO kwa kiasi kikubwa nchini,viva lowasa
 
Acheni kujidanganya kuwa wananchi bado wana imani na ccm,Hanna hata kidogo.
 
Mamlaka ya kumusema na kumupinga Lowassa wewe umeyatoa wapi?.
 
Mtoa mada hata shamba huna, unaishi kwa kutegemea dili mjini utajuaje kuna njaa?
 
Yaani mtoa mada ungekua karibu ningekupiga makofi kabisa maana akili za kushikiwa hadi lini?
 
Hata kama viongozi wako hawatasema kuwa kuna njaa kwakua wao wameshiba, wananchi wanasema,. Njaaaaaaaa.
Kumbuka juzi wakati mtukufu alipokua Magu anahutubia waliosema njaaaaaa ni wananchi.
Wasiposema watu kuwa kunanjaa hata mawe yatasema.
_Vipi nyumba nyumba zetu alizogawa kwa wanawake zake?
_Vipi hela zetu za kivuko?
_ Vipi hela za tetemeko LA kagera?
Nawashangaa sana viongozi wa dini wanapompa mambali mtu huyu mwenye roho mbaya, asiewapenda wananchi wake hadi kuwambia wafaaaaa. Hafai kupewa nafasi kwani analitumia kanisa kuwadharau, kuwabeza, kuwatukana hata kuwatia hofu watu
 
+Tatizo la nchi hii watu hasa hawa wanaojiita wanasiasa wamelewa amani, kila mtu akipata nafasi kidogo anataka atoe tamko bila hata ya kufuata taratibu kwa kisingizio cha Siasa! watu wanaishi kwa mazowea.
 
Tukisema njaa kwa mwananchi mmoja mmoja huwa lipo kila mwaka na watu hujihangaikia huku na huko ilikuweza kujikwamua na njaa, lakini mpaka itangazwe kuwa ni janga la kitaifa nchi haijafikia hatua hiyo ndugu yangu lakini kwa mwananchi mmoja mmoja njaa huwa ipo miaka yote sawa
 
Ungeeleza tathmini yako ya tani ngapi imeuzwa malawi,zambia na kenya halafu ujue una tani ngapi.
 
"ALWATAN KIZIGO, post: 19321007, member: 114573"]Na,
Augustino Chiwinga.
Tupitie hoja za Chiwinga
Ametumia madhabahu matakatifu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Kama alivyotumia Rais Magufuli mara nyingi Shaka hiyo ungeanza nayo na CCM waliokaaanaye miaka mingi tu bila tatizo.

CCM walizuia mijadala inayomhusu Bungeni.

Dhambi ni dhana hadi itakapothibitika.
Mahakama ya mafisadi imesema haina wateja. CCM hawajamfikisha mahakamani.

Dhambi unayosema ni ipi, hakuna chombo kilichomthibitisha tena vikiwa chini ya CCM?
Swali la kujiuliza ni wapi Lowassa na vibaraka wenzake wametoa mamlaka ya kutangaza uwepo wa uhaba wa chakula Tanzania ?
Mtu akisema kuna njaa ni maoni yake hayahitaji mamlaka.

Kwani Lowassa ana nyadhifa gani kiasi cha kutiliwa maanani na kufungamanishwa na mamlaka? Huyu ni mstaafu tu anapita pita, si mwenyekiti wa kitongoji au nyumba kumi. Hofu ya nini?
kitendo cha Lowassa na CHADEMA kutangaza na kueneza habari za uongo kwamba kuna baa la njaa Tanzania inakwenda kinyume na kifungu cha 38(C) cha sheria namba 17 ya Sheria ya usimamizi wa maafa Tanzania ya mwaka 2015,ambacho kinasema
Wananchi waliomwambia Magufuli wana njaa nao wanakwenda kinyume cha sheria
Mtu atakayetoa taarifa za uongo na akijua sio kweli atakua ametenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka 2 kulipa faini au vyote kwa ka pamoja"
Nani amethibitisha kuwa ni uongo?

Kauli yako na wengine haiwezi kuwa ukweli.
Kumbuka kila mtu ana haki ya kutoa maoni na si haki ya ukweli( entitled to opinion not facts)
Kupitia nukuu ya sheria ndugu Edward Lowassa ametenda kosa na naomba mamlaka husika zichukue hatua kali za kisheria na wenzake wote wanaosema uongo juu ya hali ya chakula nchini wafunguliwe mashtaka mara moja.
Unaombaje achukuliwe hatua ikiwa tayari umeshamchukulia kwa muwita mwongo?

Pengine ungesema mamlaka zimhukumu kwavile tayari umeshasoma mashtaka na kufikia hatma ni muongo. Lakini mamlaka haziwezi kunahitajiwa chombo cha kuthibitisha madai yako ya uongo, narudia madai yako na si fact zako
Sielewi hizi kelele za wapinzani kua njaa imeingia Tanzania zimetokea wapi na kwa misingi ipi,
Na hizi kelele za Maaskofu na Masheikh zinatoka wapi. Sielewi hata mimi
Wanasiasa wakaacha kutia wananchi hofu na kupandikiza chuki kwa maslahi yao
Na Masheikh na Maaskofu ''wakome'' kuapndikiza chuki bure kwa masilahi yao ya dini
Huyu Edward Lowassa anayetangaza kugawa chakula tumuulize ni mwanananchi gani atuoneshe hata mmoja tu au atuoneshe kaburi la mwananchi yeyote aliyekufa kwa njaa.
Akuonyeshe nini ikiwa umeshasema ni muongo?
Wananchi hawawezi kupokea chakula kikichojaa damu jasho ,na dhulma zilizotokana na kuwaibia watanzania.
Nani amethibitisha wizi wake? Mahakama imesema haina wateja!
Ni heri kufa njaa kuliko kupokea chakula kilichotoka kwenye mikono yeye dhambi ya Edward Lowassa.
Maoni haya ni mazuri ukiwa Sheraton Hotel.
Huko mtaani kuna kusoma namba

Hao wengine ni wasafi? Nani msafi katika tz unayeshani anapaswa kugawa chakula?
Pesa aliiba wapi?
Nani amethibitisha aliiba? Nini kinashindikana kuthibitisha ameiba?
Mashamba na ranchi zote zilizouzwa zirudishwe na wote.
Arudishe Nyumba! Na zile za serikali je?
4) Arudishe pesa za Richmond
Akiwa CCM kwanini hamkumuuliza?
5)Atueleze kiundani juu ya kifo cha mchungaji Christopher Mtikila.
Atasema hajui, hawezi kueleza kama hakuna mashtaka. Ana hiari
6) Aweke wazi mali na kampuni anazomiliki na atueleze alizipataje.
Kama nani mwingine aliyewahi kuweka wazi?
7)Aweke wazi taarifa zake za ulipaji kodi.
Tume ya maadili si ina taarifa zote kwanini usiombe iweke wazi unamtaka mtuhumiwa wako?.

Kwanini aweke mwenyewe na si viongozi wote
Hii inaonesha wazi kuwa wana mpango kabambe wa kumhujumu na kumchonganisha Mh.Rais na wananchi anaowaongoza
Hapana Rais na Raia wake, aliwaambia wanataka akawapikie?
Nani amemchonganisha Rais na Raia wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…