Lowasa value sawa sawa na huyu pichani TAFAKARI

Lowasa value sawa sawa na huyu pichani TAFAKARI

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
902
Reaction score
910
1439291901908.jpg

1439291919854.jpg

1439291938187.jpg
 
nisawa kabisa wote ni wana waMungu alie hai kwake hakuna alie mkuu
 
Azam ndio mabingwa afrika mashariki na kati na EL ndiye rais ajaye...chukua hatua kapige kura tarehe 25 oktoba. Tanzania bila CCM inawezekana
 
Wakati yuko YANGA nilimpenda sana huyu kijana,alivyoondoka tuuuuuu mfyuuuuuu,LOWASA OYEEEEEEE
 
Ngoja tumalizie sheria ya mitandao ikianza tunafynga na akaunti maana tutaanza kusingiziana Butimba magereza pajae watu
 
Lowasa ni raisi gani lowasa ndio nani

Labda kweli humjui...
Ila ndio huyo aliekusanya hao raia apo...!!
Alaf pia wala hutakiwi kumjua saaaaana maana wewe huwezi jilinganisha na hao raia woote hapo..
Ur nathiq Bro..
 

Attachments

  • 1439293217687.jpg
    1439293217687.jpg
    128.2 KB · Views: 211
  • 1439293269400.jpg
    1439293269400.jpg
    128.9 KB · Views: 220
Nyomi ilikuwa ya kutosha kimahesabu ni kama 100,000 yaani wapiga kura wote wa Halima mdee lakini Je ,inaweza kuamua hatma ya wapiga kura 23millioni. Tuchanganye karata zetu vizuri.
 
Back
Top Bottom