Lowasa,Rostam,Karamagi na Chebge ni Makimbakwiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa,Rostam,Karamagi na Chebge ni Makimbakwiri

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ngongo, Mar 29, 2011.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  "Kimbakwiri" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mtu anayetumia nafasi,cheo au elimu yake kupata mali kwa njia isiyo halali.Mfano wewe ni mwanasheria wa serekali unasaini mkataba kwa niaba ya serekali lakini ndani ya mkataba unaweka maslahi yako binafsi na nk.

  Fisadi ni msamiati unaotumiwa sana kuwaelezea watu wanaotumia madaraka kujipatia utajiri isivyo halali.Ningeomba tuache kutumia msamiati "fisadi' badala yake tutumie neno "kimbakwiri'

  Mfano tunaweza kusema E Chenge ni kimbakwiri au Rostam Aziz na E Lowasa ni makimbakwiri.

  Naomba kuwasilisha
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  unaweza sema ni majimbakwiri kutokana na kubobea kwenye huo ukimbwakwiri
   
 3. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanini tusibadilishe "msamiatia" fisadi liwe "neno" fisada na kuchukua nafasi na maana ya neno "kimbakwira".....   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Kimbakwiri limekaa mkao mzuri hakuna haja ya kutumia fisadi au fisada.
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  asante tutaanza litumia
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Aksante.
   
Loading...