TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,584
- 28,633
kutokana na Avatar yako labda itawezekana. lakini uwe makini, maana nasikikia kupewa kamati ya ulinzi na usalama ilikuwa ni katika kuhakikisha anawadhibiti ninyi wenye misimamo ya pinga na tokomeza ufisadi.Labda rais ajaye wa waizi.
Lowassa will never become the head of my beloved country
wamemzomea raisi ajaye? shauri yao.
rais kwenu na ukoo wenu!!!huna hata aibu maji2 mengine nayowamemzomea raisi ajaye? Shauri yao.
Sijakusoma fresh funguka
Uliza kilichomkuta lowassa leo anatamani kulia,magamba wote wameshikwa pabaya
Wamekutwa na nini? Mkuu
Edo ananifuraisha sana Afya yake yenyewe inaonyesha mgogoro, alafu anatoa aadi bila kusema atafanikishaje!!! Uyu jamaa anadhani Wameru wajinga ivyo, nimeskiliza iyo clips toka mwanzo mpaka mwisho ajasema CCM Oyeeeeee!! inaonekana ata yeye amechoka na icho chama.