Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,009 Reaction score 74,643 Jan 12, 2015 #101 Chabruma said: Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa Click to expand... Chabruma mie mambo ya huko kwenu hayanihusu ila nikuambie kuwa wewe hata kama unatumika na akina Six bado wewe na hao hamna ubavu kwa Lowassa kabisa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chabruma said: Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa Click to expand... Chabruma mie mambo ya huko kwenu hayanihusu ila nikuambie kuwa wewe hata kama unatumika na akina Six bado wewe na hao hamna ubavu kwa Lowassa kabisa.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,449 Reaction score 127,624 Jan 12, 2015 #102 Zanzibar-ASP said: Mkuu GENTAMYCINE bado sijakupata vyema. Ugomvi kati ya nani na nani? Dina Chahali ni team ipi hasa? Click to expand... Unauliza Funza Kigoma?
Zanzibar-ASP said: Mkuu GENTAMYCINE bado sijakupata vyema. Ugomvi kati ya nani na nani? Dina Chahali ni team ipi hasa? Click to expand... Unauliza Funza Kigoma?
Prezidah JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 750 Reaction score 182 Jan 12, 2015 #103 Sophist said: Zawadi za krismas na mwaka mpya 2015 kwa wajumbe wa NEC na Mkutano Mkuu (CCM) - Tzs. 1,000,000/- kwa Tzs. 500,000/- kwa kila mmoja. Click to expand... Tupe evidence mkuu hata mimi nikaandika tuhuma kama ishu ni kuandika tu
Sophist said: Zawadi za krismas na mwaka mpya 2015 kwa wajumbe wa NEC na Mkutano Mkuu (CCM) - Tzs. 1,000,000/- kwa Tzs. 500,000/- kwa kila mmoja. Click to expand... Tupe evidence mkuu hata mimi nikaandika tuhuma kama ishu ni kuandika tu