Lowasa katika ubora wake

Edo ana sali sana...!!! Ni mcha Mungu...!!
 
Anasali apate urais thubutu yake. baba wa taifa aliisha mlaani, akamfufue kwanza abadilishe kauli
 
Mcha Mungu hawezi kwenda kusalishwa na mwuaji TB Joshua aliyeua watu zaidi ya mia moja katika jengo lake!
 
Magufuli alimpeleka mtoto wake na alipona KWA JINA LA YESU
 
Watu wanamuhukumu utadhani wao wasaafi.
Kama Mungu kampangia kuwa Rais atakuwa tuu.
 
Bado kuna watu wana mtetea lowassa pamoja na hasara kubwa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…