Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Jun 16, 2015 #2 Edo ana sali sana...!!! Ni mcha Mungu...!!
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 28,237 Reaction score 56,886 Jun 16, 2015 #3 Mr. President said: Edo ana sali sana...!!! Ni mcha Mungu...!! Click to expand... Msalishaji mwenyewe tapeli kama yeye!
Mr. President said: Edo ana sali sana...!!! Ni mcha Mungu...!! Click to expand... Msalishaji mwenyewe tapeli kama yeye!
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,707 Jun 16, 2015 #4 Anasali apate urais thubutu yake. baba wa taifa aliisha mlaani, akamfufue kwanza abadilishe kauli
Donyongijape JF-Expert Member Joined May 28, 2010 Posts 1,497 Reaction score 814 Jun 16, 2015 #5 Mbona unasema Edo, alafu ndani tunakuta na wengine?
J juellzD Member Joined Jun 1, 2015 Posts 38 Reaction score 4 Jun 16, 2015 #6 Baba wa taifa ni mungu? Nae pia kuna walio mlaani
G gumegume JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 1,063 Reaction score 620 Jun 16, 2015 #7 Mcha Mungu hawezi kwenda kusalishwa na mwuaji TB Joshua aliyeua watu zaidi ya mia moja katika jengo lake!
Mcha Mungu hawezi kwenda kusalishwa na mwuaji TB Joshua aliyeua watu zaidi ya mia moja katika jengo lake!
A ALL-NASIRY Member Joined May 10, 2015 Posts 17 Reaction score 5 Jun 16, 2015 #8 Mcha mungu wa dunia ipi? Ya wanyonge au manepari?
A ALL-NASIRY Member Joined May 10, 2015 Posts 17 Reaction score 5 Jun 16, 2015 #9 Mcha mungu wa dunia ipi ya wanyonge au mabepari?
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Jun 17, 2015 #10 Magufuli alimpeleka mtoto wake na alipona KWA JINA LA YESU
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Jun 17, 2015 #11 Watu wanamuhukumu utadhani wao wasaafi. Kama Mungu kampangia kuwa Rais atakuwa tuu.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jun 17, 2015 #12 Bado kuna watu wana mtetea lowassa pamoja na hasara kubwa hivi?