Lowassa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu

Ndio

Lowasa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu.

Wanamtandao sasa wana amani moyoni kwani mwenyekiti wa kamati ya fitina pamoja na katibu wake wako ndani ya nyumba.

Wanamtandao ni wataalamu wa siasa chafu,Mtu pekee anayeweza kuwamudu wanamtandao ni mwanamtandao.Mwanamtandao pekee aliyewashinda wanamtandao ni Kikwete na bado yupo kwenye mtandao tena katika team ile ile ya wazee wa kupika ugali sumu.

Mkakati ni rahis sana hata mtoto wa cheke chea anajua.

Mfanye ajisikie salama.

Wawezeshe Wapinzani kimkakati
Weka wazi makosa yake
Muache wakati wa kampeni ateseke mwenyewe
Mbwage ama kwa kura au kwa rungu

So watanzania mjindae 2021 tutakuwa na sura mpya Ikulu.
thihitisha kauli zako mkuu
 
Kuota ni ishara ya afya njema ya ubongo.

Ila ana Kazi ngumu sana kupenya, hata km akipenya watamsusia apambane mwenyewe, 2015 aliponea tundu la sindano umaarufu ukiwa 90% Leo Uko 39%,kwa nguvu ya dola labda,napo si cha kutegemea sana maana nao ni waathirika wa stahiki zao
 
Kuota ni ishara ya afya njema ya ubongo.

Ila ana Kazi ngumu sana kupenya, hata km akipenya watamsusia apambane mwenyewe, 2015 aliponea tundu la sindano umaarufu ukiwa 90% Leo Uko 39%,kwa nguvu ya dola labda,napo si cha kutegemea sana maana nao ni waathirika wa stahiki zao,
 
Ndio

Lowasa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu.

Wanamtandao sasa wana amani moyoni kwani mwenyekiti wa kamati ya fitina pamoja na katibu wake wako ndani ya nyumba.

Wanamtandao ni wataalamu wa siasa chafu,Mtu pekee anayeweza kuwamudu wanamtandao ni mwanamtandao.Mwanamtandao pekee aliyewashinda wanamtandao ni Kikwete na bado yupo kwenye mtandao tena katika team ile ile ya wazee wa kupika ugali sumu.

Mkakati ni rahis sana hata mtoto wa cheke chea anajua.

Mfanye ajisikie salama.

Wawezeshe Wapinzani kimkakati
Weka wazi makosa yake
Muache wakati wa kampeni ateseke mwenyewe
Mbwage ama kwa kura au kwa rungu

So watanzania mjindae 2021 tutakuwa na sura mpya Ikulu.

Respect kwa mkuu ila kwa huyu bwana mhh! Huyu katamka kaunga mkono kuhusu kama Waitara na wale wengine.
 
Ila ana Kazi ngumu sana kupenya, hata km akipenya watamsusia apambane mwenyewe, 2015 aliponea tundu la sindano umaarufu ukiwa 90% Leo Uko 39%,kwa nguvu ya dola labda,napo si cha kutegemea sana maana nao ni waathirika wa stahiki zao,
Kwani Kikwete mwaka 2010 hakupambana na familia yake tu?
 
Mnafikiri rais wa Tanzania ni kama rais wa bendi ya Akudo sio?

Hilo linaweza kutokea tu kama wazee wa kazi watamshiba.
 
CCM ni level nyingine, kwa nje ni chama ila kwa ndani ni maajabu. Kuna tiss, jeshi na ikulu humohumo, sasa usipoliewa hilo utaona ni jambo jepesi hilo. Labda kama mnaongelea 2025/---
 
Ndio

Lowasa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu.

Wanamtandao sasa wana amani moyoni kwani mwenyekiti wa kamati ya fitina pamoja na katibu wake wako ndani ya nyumba.

Wanamtandao ni wataalamu wa siasa chafu,Mtu pekee anayeweza kuwamudu wanamtandao ni mwanamtandao.Mwanamtandao pekee aliyewashinda wanamtandao ni Kikwete na bado yupo kwenye mtandao tena katika team ile ile ya wazee wa kupika ugali sumu.

Mkakati ni rahis sana hata mtoto wa cheke chea anajua.

Mfanye ajisikie salama.

Wawezeshe Wapinzani kimkakati
Weka wazi makosa yake
Muache wakati wa kampeni ateseke mwenyewe
Mbwage ama kwa kura au kwa rungu

So watanzania mjindae 2021 tutakuwa na sura mpya Ikulu.
Yetu macho mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujiburudisha
Lowassa karudi ccm,kutafuta amani ya moyo tu,hana uwezo wowote
kama watu wanataka kuozea jela kipindi hiki,walete tu mitandao yao ya rushwa ndio watamjua magufuli ni nani
Tatizo Hawa vijana wanapenda sana kujiliwaza
 
Hawakushindwa.. tatizo hawakua na lengo la pamoja wanamtandao wawil waliokuwa wanataka kitu kimoja.. wakapoteza wote.. na bahati ikamuangikia aliekuwa hayupo kwenye plan.
Wakiamua kuwa na lengo moja.. matokeo yataonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hawezi kutikiswa na watu kama lowassa na genge lake huyu wa kutikiswa na mabeberu tu ila Hawa wa ndani simuoni
 
CCM ni level nyingine, kwa nje ni chama ila kwa ndani ni maajabu. Kuna tiss, jeshi na ikulu humohumo, sasa usipoliewa hilo utaona ni jambo jepesi hilo. Labda kama mnaongelea 2025/---

Lkn wote hao nao ni wahanga wa stahiki zao wana madai kibao ambayo yapo kisheria yameminywa,kupanda mishahara, vyeo,madaraja, pia hofu ya kurudi kwa kikokotoo,pia nao ni sehemu ya jamii yanayowakuta jamii nao uwakuta,uoni wako kulinda mishahara yao Lkn si kulinda unachokifiria,hao hao anaowategemea huweza muangusha pia,pia kuna mchakato wa kupita mchujo ndani ya chama chake. Tatu Sheria ya vyama ni kwa wote vipi mfano msajili akiamua kumfuta uanachama je atagombea wapi?.Siasa sio hesabu jibu lzm liwe moja.Mfano hawakutegemea maalimu kuhamia Act.Siasa ni upepo ubadilika
 
Back
Top Bottom