Lowasa katika mikono ya Tido Mhando

Lowasa katika mikono ya Tido Mhando

Je baada ya uchaguzi itakuwaje?

Tumeshinda tumeshindwa nitabaki UKAWA ili hata kama bahati mbaya CCM wameshinda wasilale. nataka upinzani mkali ili watu wasilale. Huu ni uchaguzi wa kuheshimiana ,na tutapata manufaa ya multiparty democracy.

Tunapopima TUNAONA ccm ITASHINDA KILA NGAZI

Katiba ya taifa haikatazi kuchukua hata wana CCM kuunda serekali ingawa sifahamu hao watakaochaguliwa ingawa ni jambo zuri


Ukweli mchungu huu, utawachoma watu mpaka basi
 
Back
Top Bottom