Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
- Thread starter
- #21
Swala la ufisadi halizungumzwi tena baada ya ninyi kuhamia huko.
Jibu labda haujatusikiliza vizuri ,kila siku nachapa sana hayo ya ufisadi, sisi tuna piga vita sana serekalini.
swali-lakini mnaupinga juu juu tu-watu wanasubiri muwatajie mhusika mkuu wa Ricmond ni nani-Mi SIKO SEREKALINI NINGEMUELEWA NINGEMTAJA. Sasa mbona Tido wale kumi hawaajwi. Tido hatuwezi kufanya siasa za kubahatisha. Kwenye ile horodha Mzee Mkapa yupo lakini nijuavyo sio fisadi ,siwezi kutaja tu kama chiriku kamqa Dr Slaa.
Swali-Mbona kuna vurugu tu hatusikii ilani wewe na lowassa mnataja tuu na wenzenu CCM wamemuachia Magufuli mwenyewe anatajataja tuuu
jibu-pale hatuendi na ubao na chaki ,hayo yapo kwenye ilani ila huwezi kueleza kwa kila nukta tunaongea yale ya msingi
swali-Mbona hamzungumzii mtapata wapi fedha za elimu bure-
Fedha zipo na hazitumiki vizuri-Wala hakuna gharama kubwa ona shule zza bweni wazazi wanalipa 70000 tu sasa kikubwa ni kukusanya kodi na kupanga vizuri matumizi
wakuu huyu si LOWASSA NI F,Sumaye