Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
- Thread starter
- #21
Hivi nawe mtuma post unafikiria kweli,kuna mtu huwa anaalikwa katika msiba??au tunashindwa vya kuongea.Tusiwaandame tu watu hata katika mambo ya kijamii kama haya!Kwa zaidi ninachojua ni kuwa marehemu sumari na lowasa watoto wao wameoana hivyo ni ukweni hapo
Bila post hii kuwapo hapa tusingejua kama familia hizi mbili zimechanjiana damu kujenga ukoo, leo ndio nimefahamua hawa waliwakutanisha watoto wao kuwa familia na pale ndiye mwendesha maombolezo.