Lowasa huwa anaalikwa au anajipeleka tu kwenye matukio kama haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa huwa anaalikwa au anajipeleka tu kwenye matukio kama haya?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 21, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Rais Kikwete akiwa na viongozi mbali mbali nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari leo ,kutoka kulia ni spika wa bunge Anne Makinda ,mbunge wa Monduli Edward Lowassa na ndugu wa karibu na marehemu Sumari anayeteta na Rais
   
 2. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wewe vipi? Binti mkubwa wa Lowassa kaolewa na mtoto wa marehemu. Na hata kama haikuwa hivyo, wazazi wa Lowassa na wa Sumari wote wanatokea eneo moja.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Vema umetuhabarisha maana hatukujua kama Lowasa alikuwa myembe mwenzae na marehemu.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,951
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Hata kama hajaalikwa...tayari ni Rais 2015,..............huyu Spika jamani hata picha moja sijamuona katokea vizuri (japo in relax mood)
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sura hizi msiwaonyeshe watoto
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Lowassa anakubalika sana katika jamii ya kitanzania.Time will tell
   
 7. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,118
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Mdanganyeni.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,709
  Likes Received: 8,507
  Trophy Points: 280
  ingawa hii si mada, naamini mnamuunga mkono mfukoni, time, and only time will prove!
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,327
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  futuuuuuuuuuuuuure president.....msiba mpaka ualikwe ndugu?halafu my wife wangu is not photogenic kabisa.yaani akiwa anaongoza bunge anaonekana mbaya,msiani hivyo hivyo...lakini nimempenda mwenyewe
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 2,121
  Trophy Points: 280
  Bibi kiroboto mbona haumuulizii.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,968
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Ukinyangwanya tonge mdomoni, lol!
   
 12. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hivi nawe mtuma post unafikiria kweli,kuna mtu huwa anaalikwa katika msiba??au tunashindwa vya kuongea.Tusiwaandame tu watu hata katika mambo ya kijamii kama haya!Kwa zaidi ninachojua ni kuwa marehemu sumari na lowasa watoto wao wameoana hivyo ni ukweni hapo
   
 13. Yonjolo

  Yonjolo Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameshakula hapa?
   
 14. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hili jina litakutia matatizoni na bwana MOD.
   
 15. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hii nyumba ni ya dar au arusha?
   
 16. n

  nndondo JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,225
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hawa ndio wabunge wa DAR, waachie watanzania wanafiki wakose uwakilishi, hivi huyu alishiriki kampeni za uchaguzi ama alipita bila kupingwa sababu ya kundi lake?
   
 17. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180  Hii sio Arusha, hatujasikia vingora
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,789
  Likes Received: 8,361
  Trophy Points: 280
  I see!! mimi nilikuwa najiona ni jamii ya Kitanzania kumbe nilikuwa najidanganya!!?? kweli ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni.
   
 19. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jama msibani hakuna kualikwa, Lowassa kaenda kwenye msiba wa mkwewe na kaka yake pia, tambua kuwa Lowasa si mmasai ni muarusha kma Sumari, so hapo hana jinsi, Je kwa Regia ulimuona?.Future presidaaaaaaaaaaaaa
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,789
  Likes Received: 8,361
  Trophy Points: 280
  Mbona hata TFF ina Rais wake!? sio tatizo kwa Lowasa kuwa Rais maana hata misukule kama wewe wana Rais wao.
   
Loading...