Lowassa hukatwi ila zamu hii rais anatoaka Zanzibar , uwahi uhamie Zanzibar mapema
Mtu kama el! Hafai kua kiongoz wa taifa hl! Kama anadilk kusema maneno mazito kama haya kuwa yy n kama hakuna wakumtishia nyau ndan ya ccm! Mm nafkr wakae pemben wamalzane huko!
Katika taarifa ya habari ya saa moja na nusu leo nimemsikia waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya richmond amesema kuwa hakuna wa kumkata jina na aoni sababu ya kukatwa jina! Alianza kazi mwaka 1977 amekua mtumishi wa chama hicho na hajawah ajiliwa serikalin! lowassa Ameyasema hayo alipokua ruvuma leo! Hii itanogesha upasukaji na mgawanyiko wa chama hicho kama ilivyotokea kwa KANU! na kutoa mwanya wa wapinzan kwenda ikulu!
Kimya cha Jakaya kimeanza kumtisha Lowassa, hasikii wala hanusi mbinu zozote zinazopangwa na Jakaya huku akiona siku zinakaribia huenda ma best na wapanga mikakati wake ni mashushushu wa jk, hivi Makongoro mahanga, Sophia Simba, Hawa Ghasia, Apson, Hamis Mgeja, Emanuel Nchimbi, Chikawe hawa wote wako against Jakaya?? Lowassa kazungukwa na Marafiki maslahi, Mara akikatwa watahamia kwny kambi ya mgombea Mpya ndo maana kaanza kuweweseka, wajumbe wa Lowassa kwny CC wanajulikana kwa majina na idadi so Jk anayo anayopanga na hakuna aliejaribu kuotea kwa usahihi, Membe kawekwa kama Chambo ya Chenge kwa Samuel Sitta kwny Uspika 2010
Hivi yeye lowasa ni nani mpaka aseme hakuna wa kumkata jina,?kwanini anaona yeye ndio pekee anaefaa kuwa rais na si mtu mwingine yeyote? Je anamtishia nani kutangaza maneno haya kwenye vyombo vya habari? Ngoja tusubiri tuone kama ccm wataogopa hivi vitisho vya huyu fisadi. Haiwezekani mtu mmoja tena fisadi atishie nchi nzima kiasi hiki.
Labda rais wa wezi sio Tanzania nilipozaliwa.
Lowassa ni mfa maji haishi kutapa tapa kwani yeye ni nani hadi aongopwe ccm siyo mali yake hao aliowanunua ndio wataendelea kumlamba miguu,jina litakatwa tu na watu wake wajiandae kisaikolojia,ccm haiwezi kuongozwa na mafisadi