Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Yohana 14:6; Yesu alisema, mimi ndiyo Njia ya Ukweli na Uzima Mtu Hawezi kufika kwa Baba bila kupitia Kwangu!
Nimekuwa nikisia tetesi za hapa na pale ya kwamba Bw.Lowasa huenda jina lake likakatwa kugombea Uraiis ndani ya CCM na kama ikitokea hivyo basi yeye pmj na kundi lake watajitoa CCM na kuhamia Chama kingine!
Ushauri wangu kwa Lowasa na wafuasi wake msilogwe mkajitoa CCM na kujiunga na Chama kingine kwani huo ndio utakuwa mwisho wenu na si ajabu ukawa mbaya sana ni bora hata mpigane na kupambana ndani ya CCM hata kama mkishindwa basi mbakie CCM, kwani siku Lowasa ukitangaza kutoka CCM kesho wanakufunga, utasikia TAKUKURU wanakuhitaji kukuhoji, na watakufunga kweli na hakuna kitu wewe au wafuasi wako mtafanya kumbukeni CCM ndiyo Dola yenyewe na msijidanganye kwa kutaka kufananisha CCM na KANU ya Kenya au Kaunda Zambia, CCM watakufungulia mashitaka na hautakwepa na mwishowe watakufunga!