Lowasa aweza kuwa rais

Lowasa aweza kuwa rais

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
kama hali ya mambo itaendelea lowasa huenda akawa rais ajae. naona mikakati mingi behind the scene, baadhi ya viongozi wa dini,baadhi ya viongozi wa upinzani,baadhi ya vyombo vya habari,baadhi ya vyombo vy utafiti,usalama wa taifa, wajumbe wengi wa nec ccm. NAIONA HATARI KUBWA INAINYEMELEA TANZANIA.

10801679_307799472736924_2319033265139927521_n.jpg
 
Hivi una akili? huwezi kuweka post bila kugusa wapinzani? hata akiwa rais au asipokuwa Rais hatakuwa na msaada wowote kwa Taifa.
 
...labda Rais wa mafisadi na wahuni.
 
kama hali ya mambo itaendelea lowasa huenda akawa rais ajae. naona mikakati mingi behind the scene, baadhi ya viongozi wa dini,baadhi ya viongozi wa upinzani,baadhi ya vyombo vya habari,baadhi ya vyombo vy utafiti,usalama wa taifa, wajumbe wengi wa nec ccm. NAIONA HATARI KUBWA INAINYEMELEA TANZANIA.

10801679_307799472736924_2319033265139927521_n.jpg

umechoka kumtetea zitto au ndio moja ya kazi mlizo kuwa nazo
 
Fisadi Lowasa naye awe Rais wa Tanzania? Labda Rais wa mafisadi kama mkuu BAK alivyosema hapo juu
 
kama hali ya mambo itaendelea lowasa huenda akawa rais ajae. naona mikakati mingi behind the scene, baadhi ya viongozi wa dini,baadhi ya viongozi wa upinzani,baadhi ya vyombo vya habari,baadhi ya vyombo vy utafiti,usalama wa taifa, wajumbe wengi wa nec ccm. NAIONA HATARI KUBWA INAINYEMELEA TANZANIA.

10801679_307799472736924_2319033265139927521_n.jpg
Nilikuona wa maana sana ila kwa bandiko hili nakudharau sana
 
Back
Top Bottom