Lowasa ni raisi.piga ua
gongo uliyokunywa leo hukuizimua?
Always, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe.
Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki.
Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao. Wengi wanajua kuwa jamaa ana kashfa, ila wanasema ni mchapakazi. Wengi wanasema kama Lowassaa atapitishwa kuwa mgombea bila shaka watampa kura yao. Naomba msinishambulie mimi mgeni jukwaani bandugu:lock1:
Majambazi wawe chama cha upinzani wamekuwa wajinga?habari jambazi mdogo wa chadema, maana chadema imejaa majambazi
Lowassa alionyesha uwajibikaji na kama ni ufisadi tuonyeshe nani msafi.Kuna jamaa yangu aliwai nimbia msemo huu.."kila kiongozi umuonae madarakani anareflect akili za jamii husika "
Ukiona jamii inamuita mtu mwizi at the same time wanasema huyu ndio anafaa kutuongoza nafikiri hapo unapata picha akili za hiyo jamii zikoje.
Kashfa za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi yalipelekea EL ajiuzulu lakini leo hii anaitwa PM mstaafu ili kupunguza makali ya kashfa zake.
Sa hivi kajua akili za jamii anayotaka kuitawa ipoje anachofanya anamwaga tu hela afu anasikilizia pembeni...watu weeee raisi raisi raisi
Ni vizuri kwasababu siasa ni vita cha msigi mtu ashinde ila ni kweli kabisa watanzania tumekuwa wepesi kiasi hiki.
Kweli kweli huyu jamaa leo hii ndio anaonekana lulu..mwenye utajiri husiojulikana source mwenye kumwaga hela bila kujali atazirudisha vipi..duh
these are few engineers who have full access to "magogoni".No wonder why, our cities are poorly planned and buildings made ready to collapse.
Acha kudanganya watu wewe. Hotuba ya lowasa ipo mtandaoni. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya kabisa. Tulia kabisa. Forever and ever.Lowasa ameukana urais kwa kudai kwamba urais ni uchuro. Akiongea na vijana waendesha bodaboda kwenye mkutano wa hadhara, mara vijana hao walianza kuimba: rais, rais, rais, rais wetu wa 2015. Lowasa aliwakataza waache kumuita hivyo kwani urais ni uchuro na kwamba kufanya hivyo watakuwa wanamchonganisha na watu. Lowasa aliwaahidi vijana hao kuwachangia fedha ili kila mmoja amiliki chombo chake cha usafiri.
Source: Lowasa mwenyewe:israel:
Lowassa alionyesha uwajibikaji na kama ni ufisadi tuonyeshe nani msafi.
Lowassas PRIDE is what I bank on as a sign that he will lead better. He is the likes of Kagame and Uhuru, sio puppets hawa jamaa by nature. Ni wanajiamini na kufanya maamuzi. wether maamuzi haya ni sahihi au sio sahihi ni subjective, lakini atleast tunakua tumepata kiongozi decisive. Jamani tumechoka kuendeshwa na nyota na kuombaomba ulaya! Tumechoka kuongozwa na watu wasiojua hata kwanini tumaskini!
.....hata kama hapo ulipo ni mpiga kazi na huna mvuto kwa wapiga kura,usitegemee kupata mafasi ya kupeperusha bendera ya chama chako,kwani utawapotezea malengo yao,labda tu iwe ni chama cha kusindikiza wengine na kusubiria ruzuku kama ndio chanzo zha ajira na maisha kwa viongozi huzika...
Always, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe.
Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki.
Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao. Wengi wanajua kuwa jamaa ana kashfa, ila wanasema ni mchapakazi. Wengi wanasema kama Lowassaa atapitishwa kuwa mgombea bila shaka watampa kura yao. Naomba msinishambulie mimi mgeni jukwaani bandugu:lock1: