Lowasa anatisha jamani !!

Lowasa anatisha jamani !!

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
1,097
Reaction score
571
Hata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi


Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako !

Ukigeuka Huku Lowassa,
Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa,

Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !!
Kwa maoni yangu

Watu wanahofu kubwaaa !!
 
Na Jacqline Lowassa eti naye amerudi CCM???
 
Lengo la hii thread ni kusema tu kuwa Lowassa anatisha? Au kuna ujumbe mwingine bado unaandaa??
 
Hata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi


Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako !

Ukigeuka Huku Lowassa,
Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa,

Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !!
Kwa maoni yangu

Watu wanahofu kubwaaa !!

kweli anatisha maana kasurubishwa na bunge kuhusu richmond akaishia kulialia tu, kakatwa kaishia kulia, kakosa uraisi pamoja na kuwekeza pesa nyingi
 
Lazima atishe,mtu aliyehonga pesa mpaka makanisani na misikitini,na wajumbe wa CCM zaidi ya nusu ili kukubalika Kwa uroho w madaraka ili aifanyie nchi ufisadi mkubwa kuwahi kutokea nchini,si ni mtu hatari anayetisha sana???.. Na anatisha zaidi ya unavyohisi,ndo maana CCM walimchinjia baharini.
 
kwan ww una ndugu jambazi ambae kamwe hutamsahau?
Itabidi JF waanze kuulizia vyeti kabla ya kuwaunganisha watu humu.Kuna watu mnaonekana upeo wenu wa kufafanua jambo ni too low.Mnatupa tabu sana kuelewa maelezo yenu.
 
Hata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi


Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako !

Ukigeuka Huku Lowassa,
Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa,

Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !!
Kwa maoni yangu

Watu wanahofu kubwaaa !!
wala hatishi ila wanamsikitikia mauvo yake juzi nilikutana na mfuasi wake wa karibu wa lowasa nikamuuliza kuhusu lowasa akaniambia hana pesa imeisha unaona chadema ipo kimyaaa
 
Back
Top Bottom