Lowasa akiwa kazini hana mchezo

Sasa hii umeiweka hapa haina kichwa wala miguu. Watu wengine bwana....
 
Kichwa na miguu huwezi kuiona hadi utumie akili kujishulisha kujua nini maana ya link na uchache wa maneno.Picha inaweza pia kukuelezea si lazima maandiko .
 
Watu wanaongelea kazi ya ukanjanja ya Lowasa na CCM yake .Leo kavaa makanzu nk umaarufu tu ndiyo kazi pekee anayo iweza .Hili ndilo somo la hii picha . Endelea kubisha .
 
Jamani si anatumia taaluma yake ya sanaa za maonyesho kutoka mlimani. ni shurti avute hadhira hata kwa mavazi, msemo na mwonekano. haiba ya wakati huo ni shurti iendane na mazingira alipo. Lowasa ni msanii wa kusomea!!( plus kukata viuno)kwikwi labda hapo alikuwa anacheza ingekuwa video ingekuwa poa!!
 
Back
Top Bottom