Habari. Nnatatzo kwenye hiyo simu ninapompigia mtu tunaelewana baada ya sekunde kazaa hanisikii tena mpaka niweke roud speaker ndo tunasikilzana. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia au amekutana na kitu kama hiki tusaidiane
Hata mimi ilinisumbua. Dawa ni kuweka na kutoa loud speaker then mnasikilizana vizuri. Mimi hiyo simu ilinisumbua mara nyingi naambiwa sipatikani wakati nipo hewani. Kuna watu wengi wameexperience tatizo hilo. Toleo hili lina defects flani bila shaka. Nimeamua kurudi kwenye nokia tochi yangu ili nipatikani kwa uhakika.
Duh hi simu sasa ni shida manake kila mwenye nayo analalamika nadhani kuna umuhimu wa kuzifuatilia kiundani hizi simu lazima kutakua na tatizo la kiufundi toka kiwandani