Low blood pressure...msaada tafadhali

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
1,024
275
Wakuu naomba kufahamishwa dalili za presha hasa ya kushuka pamoja na tiba yake tafadhali....natanguliza shukrani
 
kuchoka, kukosa pumzi, kizunguzungu, mapigo ya moyo kuongezeka, bp chini ya lower limits ndo dalili kuu
 
dawa bora mpaka sasa ni kinywaji cha guinnesss. usipuuze
 
Low Blood Pressure (Hypotension) mkuu.@mysteryman

What is low blood pressure?


Blood pressure is the force exerted by circulating blood on the walls of blood vessels. It constitutes one of the critically important signs of life or vital signs which include heart beat, breathing, and temperature. Blood pressure is generated by the heart pumping blood into

the arteries modified by the response of the arteries to the flow of blood.

An individual's blood pressure is expressed as systolic/diastolic blood pressure, for example, 120/80.The systolic blood pressure (the

top number) represents the pressure in the arteries as the muscle of the heart contracts and pumps blood into them. The diastolic blood

pressure (the bottom number) represents the pressure in the arteries as the muscle of the heart relaxes following its contraction. Blood

pressure always is higher when the heart is pumping (squeezing) than when it is relaxing.


The range of systolic blood pressure for most healthy adults falls between 90 and 120 millimeters of mercury (mm Hg). Normal diastolic

blood pressure ranges between 60 and 80 mm Hg. Current guidelines define normal blood pressure range as lower than 120/80. Blood

pressures over 130/80 are considered high. High blood pressure increases the risk of developing:



Low blood pressure
(hypotension) is pressure so low it causes symptoms or signs due to the low flow of blood through the arteries and veins. When the flow of blood is too low to deliver enough oxygen and nutrients to vital organs such as the brain, heart, and kidney, the

organs do not function normally and may be temporarily or permanently damaged.

Unlike high blood pressure, low blood pressure is defined primarily by signs and symptoms of low blood flow and not by a specific blood

pressure number. Some individuals routinely may have blood pressures of 90/50 with no symptoms and therefore do not have low blood

pressure. However, others who normally have higher blood pressures may develop symptoms of low blood pressure if their blood pressure drops to 100/60.


 
SHINIKIZO LA DAMU


2%20htn.jpg
Shinikizo la damu ni moja ya tatizo linaloathiri watu wengi duniani.




Nini maana ya shinikizo la damu?


Ni msukumo wa damu ulioko juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huitajika mwilini ili kusambaza chakula,oksijeni na kutoa uchafu.

Uanishaji wa shinikizo la damu
UanishajiSystolic BPDiastolic BP
Kawaida (normal)<120<80
Prehypertension120-13980-89
Kali (mild hypertension)140-15990-99
Kali kiasi (moderate hypertension)160-179100-109
Kali sana (severe Hypertension)&#8805;180&#8805;110
Shinikizo la damu hupimwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer
Shinikizo la damu husababishwa na nini?
Aina ya kwanza: Asilimia 90-95 sababu huwa hazijulikani na kitaalamu huitwa primary or essential hypertension. Ingawa vitu vifuatavyo vimehusishwa kupelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu. Navyo ni:

  1. Uvutaji sigara
  2. Unene (visceral obesity)
  3. Unywaji wa pombe
  4. Upungufu wa madini ya potassium
  5. Upungufu wa vitamin D
  6. Kurithi
  7. Umri mkubwa
  8. Chumvi na madini ya sodium kwa ujumla
  9. Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
  10. Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
Aina ya Pili: Asilimia 5 huwa na sababu dhahiri zinazopelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu na huitwa kitaalamu secondary hypertension. Na sababu hizi ni:

  1. Hali ya kukosa hewa usingizini (sleep Apnea)
  2. Kasoro ya kuzaliwa nayo katika mshipa mkubwa wa damu (Coarctation of Aorta)
  3. Saratani za figo (wilm’s tumor, renal cell carcinoma)
  4. Saratani ya tezi iliyo juu ya figo (pheochromocytoma)
  5. Ujauzito – wapo wakina mama wajawazito ambao hupata shinikizo la damu na huwa hatarini kupata kifafa cha mimba (eclampsia)
  6. Magonjwa ya figo (renal artery stenosis, glomerulonephritis)
Dalili
Mara nyingi huwa hamna dalili zozote, na kama zikiwepo mgonjwa huwa na dalili zifuatazo:

  1. Uchovu
  2. Maumivu ya kichwa
  3. Kuhisi mapigo ya moyo kwenda haraka
  4. Kichefuchefu
  5. Kutapika
  6. Damu kutoka puani
  7. Kutoweza kuona vizuri (blurred vision)
  8. Kusikia kelele masikioni
  9. Na mara chache kuchanganyikiwa
Vipimo na uchunguzi
1%20htn.jpg
Huitaji kupima angalau mara tatu angalu wiki moja tofauti ilikuweza kusema mgonjwa ana shinikizo la damu kwa kutumia kifaa kinachoitwa kitaalamuSphygmomanometer. Vipimo vingine ni:

  1. Damu kuchunguza wingi wa lijamu mwilini (cholesterol), na pia vitu kama (BUN, na electrolytes)
  2. Kipimo cha mkojo (Urinalysis)
  3. Electrocardiogram (ECG)
  4. Echocardiography
  5. Ultrasound ya mafigo
Matibabu
Lengo ni kuzuia madhara ambayo yanaweza kuletwa na shinikizo la damu. Dawa zifuatazo hutumika kutibu shinikizo la damu: dawa jamii ya Alpha blockers, dawa jamii ya Angiotensin converting enzyme inhibitor (ACEI), dawa jamii ya Angiotensin receptor blocker (ARB), dawa jamii ya Beta blocker, dawa jamii ya Calcium channel blocker, dawa jamii ya Diuretics, dawa jamii ya Renin inhibitors na dawa jamii ya Vasodilators.
Madhara yanayoweza kuletwa na shinikizo la damu

  1. Kiharusi
  2. Moyo kushindwa kufanya kazi ( congestive heart failure)
  3. Madhara katika mshipa mkubwa wa damu ambapo ukuta wa ndani huchanika na damu hukusanyika katika ukuta wa mshipa huo(aortic dissection)
  4. Magonjwa ya mishipa ya damu
  5. Kushindwa kuona
  6. Athari katika ubongo
Jinsi ya kuzuia shinikizo la damu

  1. Chakula cha afya kisicho na mafuta mengi na chenye madini ya potassium kitaalamu kinaitwa DASH diet (dietary approaches to stop hypertension)
  2. Mazoezi mara kwa mara- angalau nusu saa kwa siku
  3. Kwa wavutaji sigara kuacha kuvuta sigara
  4. Punguza au kama unaweza acha unywaji wa pombe ( kwa wanaume angalau bia 2 kwa siku na wanawake bia 1)
  5. Punguza utumiaji wa chumvi hasa ya kuongeza mezani (usitumie zaidi ya gramu 1.5)
  6. Punguza msongo mawazo
  7. Hakikisha unakuwa kwenye uzito wa afya, kama uko kwenye uzito wa hatari fanya mpango wa kupunguza uzito.
  8. Matumizi ya mafuta ya samaki husaidia kupunguza shinikizo la damu, kwa wenye shinikizo la damu.Shinikizo La Damu
 
Mkuu.@mysteryman Dawa ya (Low blood pressure) Mwambie mgonjwa kila siku awe anakula kipande kimoja tu cha kitunguu saumu yaani punje moja kila siku itamsaidia kupunguza hiyo (Low blood pressure) Atapona inshallah atumie kwa muda wa siku 7 na awe anakunywa maji kwa wingi kila siku kisha uje hapa unipe Feedback.
 
Back
Top Bottom