π€£π€£π€£π€£ Nifungue appAna kipaji asipuzwe atafika mbali sana
Wee uduguuu Usiku ulikula kweli????πππππ nilipewa screenshot yako
Ya uzi uliofungwa ulicomment etii π€£π€£π€£π€£
Haya km ulinukuu.!!
Kwahiyo waasi ndo walimponda hivyo mume wao?? π€£π€£π€£
Kwani Hutaki afu tatu kam za mangeπ€£π€£π€£π€£ Nifungue app
Ww si tuko wote hapa, swali gani hilo π€£π€£π€£Wee uduguuu Usiku ulikula kweli????
Nazitaka kaka π€£π€£π€£π€£Signed off.
Kwani Hutaki afu tatu kam za mange
Weeee!! Nani kakupangia?? πππTunataka tupangiane cha kukoment huu uzi kwemaπππ
Anzisha chap umalizie lile pagaleNazitaka kaka π€£π€£π€£π€£
Acha tyuu!! Pagale linaninyima usingizi lile π€£π€£π€£π€£Anzisha chap umalizie lile pagale
Mimina kahawa tunywe tusinzie mdogoangu πππππHatulaliiii
Babe toka huu Uzi ufunguliwe, mbona ume chachuka hivyoπHalafu sisi wengine nyeusi kusema ni nyeupe hatuwezi na nyeupe kusema ni nyeusi tumeshindwa kila mtu aheshimu comment ya mwenzie vinginevyo mta Dislike mpaka mjambeππππ
Hujaamua tu, changamkia 30k ziko nyingi humu. Usiwe mshamba kama cocastic alipishana nazo m. CityAcha tyuu!! Pagale linaninyima usingizi lile π€£π€£π€£π€£
πππWeeee!! Nani kakupangia?? πππ
πππBabe toka huu Uzi ufunguliwe, mbona ume chachuka hivyoπ
Cc Chizi MaarifaNaona unataka kuchota mafuta kwenye gari iliyoanguka.... yaani unachochea moto kadri uwezavyo
ππππ Bora nipambane na uwinga wangu kkoo kuliko kutoa utu wangu kwa pesa mbuzi km sate sauzandi, hapana kwa kweli.!!!Hujaamua tu, changamkia 30k ziko nyingi humu. Usiwe mshamba kama cocastic alipishana nazo m. City
Suit urself Madam, maana kwa kasi uliyonayo humu unadeserve kushibaNtakuchapa
Nipe kikombe kingine weka asali