Loving you Mahondaw

🀣🀣🀣🀣 kivumbi leo
 
Kweli muosha huoshwaa🀠!

Tupo pamoja kwenye 1 na 2 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
toba toba na umeamua kukaa kimy tu na vitu vinafurukuta moyoni kwann sasa, em nidokezee kidog udugu ili nielewe abc bas za "mwanakondoo ameshinda"
hapanaaa sio sahihi mie kuzisemaa, na sioni umuhimu wake, couz ni yeye na mambo yake.

Nakua mtazamajii tyuuh, ila JF siku PM zikiwa wazi watu watakimbia id zao. Lol
 
ulikua hujuiii? Mbona tushazoeaaaa.
Babee na mdogo angu nyingiii, kumbe bwana anaenda kukutana nae na kupewa 30k.

full tafraniii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila watu humu majasiri sana, unakutana na mtu humjui??? Haya ndo madhara yake sasa, lazima waje kudhalilika km hivi!!
Kuna wanawake wanafanya tuonekane so cheap
Yani sate inakudhalilisha?? Pesa ndogo kabisaa ambayo unaweza kuipata bila kudhalilisha utu wako arrrggggg 😑
 
Its okay.
Great, usirudie tena huo ujinga. Grow up, achana na makundi, ingia cheka uondoke zako. Hizo mnaita ubuyu mnapewa na wasiojitambua mnaishia kuwa kama wao. Sikuwa na mpango kujibizana na wewe, ila your attacks on me for almost a yr led to this.
 
wee kantrii hukutani nae? Tutolee ngenga zako nawee.
Mie tyuuh ndo sijakutana na mtu humu ndaniii,

Niliyekutana nae live, asha RIP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…