That should be my mom's job, not yours.Behave yourself.
Analia lia eti sio kweli. Wakati siku ile kidogo aokote makopo.jamaniiii mie sitakiwi kupitwa na chochote hapa JF. hebu tumbua majipuu baba, nasema tumbuaaaaaaaaa
Huu hata so umbea mpyaa mbona?ushukur Mungu umbea umekuja mida mizuri la sivyo ungeunguza chakulanyau wew
Marudio πππkumbe story zenyewee za kitambooo na mie nazijuaaa, kuhusu kweli au si kweli wanajua wenyewe, ila habarii ninazooo mda tyuuh.
Yani wamepita kimazabe mazabe sana dah!Yaaaan mm nlikua nishakaa standby kutangaza matutaπππ DK ya 120 tu nashangaa naona Mpira unaeleza ndanππ....
Sema hawa wenyewe kila hatua Wanafika kimungumungu tuππππ
Kivumbi leoWe Cheka TU watu wanajiona watakatifu na kujifanya ku judge maisha ya watu yakiletwa Yao jukwaani wanaanza kupanic .
Huyo Mzee na Saint Anne wanakojoleana sana tu kuanzia kipindi Cha corona 2020 to date basi TU acha nitulie
Huyo Saint Anne anawadanganya watu kila siku ni mama mtumishi ila ,,,,,,,, haya bana
Inatosha Kwa Leo
weee na umetulia nazo udugu??
Hata kuniambia dadaako?? Tabia mbaya hiyo
Mpumzishe lecturer wa watu πππHuu hata so umbea mpyaa mbona?
Mie nautaka wa lect na dada fudengee, siku hiyo ndo ntakua winja winjaaaa kusebenzukaaaaa.
Shushia maji kidogo usije kabwa na mate.That should be my mom's job, not yours.
kumbe story zenyewee za kitambooo na mie nazijuaaa, kuhusu kweli au si kweli wanajua wenyewe, ila habarii ninazooo mda tyuuh.
Jf ina mambo sana, mtu wanaitana shosti nyuma ya pazia anambebea baby wake ππππJF ina manjegekaa sanaaa ujue, sema huwa mie napotezeaaa, ya humu nayaacha humu humu.
Unaweza kuchambana??? Utauponza mdogo wangu ππππtoba toba na umeamua kukaa kimy tu na vitu vinafurukuta moyoni kwann sasa, em nidokezee kidog udugu ili nielewe abc bas za "mwanakondoo ameshinda"
Analia lia eti sio kweli. Wakati siku ile kidogo aokote makopo.
π€Mbabu apunguze ujuaji TU π«€
Ndiomana huwa nacheka sana humu nikiandikaga kuwa Jf unaa mwingi watu hawanielewagiiii kabisa!Watu wanafki sana Tena hao wanaojifanya eti mi mtoto wa yesu nataka kujenga kanisa sijui nn nn yaani mi nachekaga TU watajijua ila hiyo mbabu apunguze ujuaji TU π«€
Niandalie mchanga watu wapute wakiwashe π€£π€£π€£Kivumbi leo
Mpumzishe lecturer wa watu
Dada fudenge yupi? Mtaje kwa codes bas
So, tumemalizana mkuu?Shushia maji kidogo usije kabwa na mate.
Acha unafiki.
Unaweza kuchambana??? Utauponza mdogo wangu