Loving you Mahondaw

Swali hili hapa☝️
Ni kweli?? ERoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mniambie imekuajeee, afu nazuiliwa kwenda post za juu, aaaaah

na mmi natumia app kama wew tu udug kuna mda nazuiliwa naambiwa nikafungulie kweny browsr sa mi naona shida sijaizoea na sijui kuitumia,, ko sijajua story imeanzia wapi ila mrs kantr kaandika kweny notebook " kabeesaaaaaa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in mke ya tajiri voice[emoji28]
 
Amesema "huyo mzee" akimaanisha mimi?

Kama ni mimi mwambie siijui hata sura ya huyo mtoto, hata sura achilia mbali mengine.

Lakini, hivi hizi hadithi huwa mnaambiwa na kina nani?
Mi ndo naziona kwa feni tedoka na ww unaniuliza mimi?? Au ni mi nimeandika?? 🀣🀣🀣
 
Ntakuchapa 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe story zenyewee za kitambooo na mie nazijuaaa, kuhusu kweli au si kweli wanajua wenyewe, ila habarii ninazooo mda tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…