Loving you Mahondaw

Yanii huko waliko sipati picha wanavosherehekea dah ushindi wa kishindo sana wakianza naule waliowatoa Senegal nahii ya leo kucheza pungufu na kushinda dakika ya mwisho kabisa!
Yaaaan mm nlikua nishakaa standby kutangaza matuta😀😀😀 DK ya 120 tu nashangaa naona Mpira unaeleza ndan😀😀....
Sema hawa wenyewe kila hatua Wanafika kimungumungu tu😀😀😀😀
 
Aiseee kwa hiyo kuamua kukupotezea kwako ushindi sio?.
Wewe ndie ulipaswa kujiuliza saikolojia ya huyo mtu uliemtaka iko sawa? We si ulijifanya Mshauri kumbe unasuburi december uvunje ukimya.

Wenye akili walinyamaza toka siku ile.
Kwa hiyo umenipotezea? I thought you geared up for me tonight. Nilikujibu ili uongee yote sasa kama umenipotezea basi nyamaza milele, sawa? Short of that I'll consider you as a femboy. I really don't want you to be categorised as a femboy.
 
Yeeesuuuu na mariaaa !!!

Kweli si kila asemae bwana bwana nyieeee!
 
kumekuchaaa hapaa, haya fungukeniii yoteee.
Sisi wengine ni watazamaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…