Binti wa Yesu mzima?Bonge la worship
Mahondaw na smart, ni nani kati yao mwanaume?
Mungu ni mwemaBinti wa Yesu mzima?
Karibu tupo kwenye mwezi mubasharaa,ndugu yetu atasherehekea siku vizuri...mi itabidi niwahi tu majibu kanisani πMungu ni mwema
Nimekuja na mimi kushangaa mapichapicha ya jf
Njaa Mwana malegezaKaribu tupo kwenye mwezi mubasharaa,ndugu yetu atasherehekea siku vizuri...mi itabidi niwahi tu majibu kanisani π
Namzingua shoo kasema nichague upande wa waasi au serikali kuu..π€£Kuna nini tena
We umechagua upande gani...waasi unawajua lakiniNamzingua shoo kasema nichague upande wa waasi au serikali kuu..π€£
Uchokozi sasaπ€£π€£Kabesaaaaaaa eeeeh au vepe!work upπ€£π€£π€£π€£π€£
Huenda zipo ila ni zile couple zilizoamua kutoweka mambo yao hadharaniKuna couple nyingi tu humu ni strong kuliko hata hii ambayo ni visible.
By the way congratulations kwao kuwa pamoja tena.
OkayWote jinsia moja...
Jamaniiiπ€£π€£π€£Mmmh we nae huna loloteeπ€£π€£π€£π€£unampenda tu huyo bwana ako kizembezembe
Na umri huu Mjukuu, mambo ya kufa Kwa Kisukari katikati ya mchezo nani anatakaBabu jau ww.!! Wakati na ww ulikuwa unalitolewa macho zigo πππ
Kumbe mambo ni mazito eeπ€£π€£jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.
Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars,
Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
Wanawake wana pattern za tabia zinazofanana
π€£π€£π€£ coca nakuitajamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.
Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars,
Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
Labda mwingine mkuu lakini kama ni me basi na Kingsmann Mpk kifo kitutenganisheUnforgettable na mwenzake unless iwe ilivunjika kimya kimya
Babu uongo πππNa umri huu Mjukuu, mambo ya kufa Kwa Kisukari katikati ya mchezo nani anataka
Kuweni na huruma na Wazee π€
Sasa wewe muhuni mhuni mwenzangu unaitwa binti wa Yesu nawe unakubali?ππππMungu ni mwema
Nimekuja na mimi kushangaa mapichapicha ya jf