Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Kungwi tena
Shoga ebu tulia kwanza kidogo nijaze ripoti ya jana πππHuhuuuhuuuu haya nihadithiee
Maua wangu ππππWewe mambo sweety mom
Samalekooo mr vouchaaa!
Huyo kungwi wa kimataifa πππ
Kungwi tunae π
inani burudisha nikiyumba yumbaa osaaaana ameeeen πΆπΆπΆπΆπΆπ₯π€£π€£π
Bwana anataka hoja zenye nguvu
Nina Siri nae Yesu yanifanya niwe jasiriβοΈ by Israel
Hebu tuwekee hiki kibao mpendwa
Namie kwa akili zangu mbili kasoro Nakumbuka kabisa niwewe ulisema hio kauli π!Japo sijakuelewa ila sio mimi
Usinisingizie
π€£π€£π€£π€£ Mi nachangamsha kijiwe..!!Jmn jmn kweli rfk wa kweli ni coca tu π€£π€£
Huyu wifi hafai,anaimba na kupuliza
Shida yako tu,unataka niwatukane matusi JF ladies waliopo kwa kukufananisha nawe.Wajanja wameshakubebaπ’
Wengine sijibu, tutakutana humu humu πππNakuonea huruma
Notification 200+ππ
Mi 80+ tu nimejipnea shida
π€£π€£π€£π€£π€£Ila maua nyie akili zake
Udugu umeweza lete namba hizo za mtaalamu π€£π€£π€£Hakii nakugawa Lamomy! Wee ni mwehu ujue!
Hahahahahahaha...hahahahahaha..ngoja nimfowardie chefs π¨βπ³π€£π€£π€£King prawns with mashed potato...anifungie na sexy on the beach ya kuisindikizia ubuyuu