Loving you Mahondaw

Mwenye Kisu kikali 🀠🀠🀠🀠!

Mi mbona ntakosa nyama kabisa sasa lol!
Unachart sana weh watakuibia saivo unatakiwa kulipika jina la shemeji yetu upo huku ujiaminisha acha hizo nenda kajiandae uvae shanga unukie bibie uanze kumpikia madiko diko au wewe sio mtanga ?? Nimeishi Tanga ukirudiana na bwana au bwana ni zamu yako unakuwa asilimia 90 uko unamkatia kiuno hatari unajiandaa bibie kwa mauno eh na mengine
 
Sheillah!!!!! Ole mwane palangwiiiii
Ooh!! ozoliiii ozoliiii osise πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Punguza kuongea ukweli tutakufukuza kwenye uzi wetu
 
Weweeeeee kungwi tumepata Lamomy Ms eyes Joannah
 
hayo mambo mnayaweza nyie vijana tumewaachia wazee 🀣🀣tumestaafu
unapenda kuona mioyo ya wenzio ikiruka ruka eeee kwa wivu hhahahaha unagubuπŸ˜…
Umenifanya nikague ID's pamoja nakujiangalia kwenye kioo,kumbe mimi bado kijana kabisa kabisa,mwenye nguvu za kumwaga.

Kwahiyo,ulivyosema nichangamke hapa JF nawe unataka kuona ndugu yako nikipata stroke?,kukonda,pressure na wenda wazimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…