Loving you Mahondaw

Coca alimuambia ukweli lakin [emoji23][emoji23][emoji23]ila aliaibika mi niliwaambia tu kuwa mnahangaika kuchamba [emoji23][emoji23]

saiv kikowapi[emoji23][emoji23][emoji23] yani ni anamsapoti kwa spidi ya 5G, huy binti sio mtu kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan kama sio yeye vile ambae alikua anatami hili penzii lipotee mazima
 
Umenikumbusha mbali sana! Kuna picha moja waliitumia Watu wa TACAIDS inaonesha unaweza kuingiza kichwa chako katika mdomo wa mamba?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…