Loving you Mahondaw

Sasa nimepata nguvu ya kukupa ushauri bibie nimechafukwa Mahondaw kitu cha wengi hakiliki nasii riziki . Teksi ni gari ila sio pekee yako unaipanda , kufungua box tupu sio heri, heri nikufungua zawadi yako pekee yako.

Nimekusanya point humu humu kwa wajibu post
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan full tafraniiii. Ila huyu mwanaume km heka heka bas anaziweza afu anazimudu, yaan halazimishiii kabisaa.
Smart hana baya, sema wanawake zake ndo wana hekaheka za vuta nivute..!!
Yy kakaa pembeni anaangalia minyukano 🤣🤣🤣
Sijui akitoka nyumba kubwa ataibukia wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…