Akija nistue π€£π€£π€£Dada bado bro naye aje atuonyeshe anavyo kulavu π€£π€£π€£
Jojo umeniita?Daah! Hatari sana
Unaeza kujikuta umemnyima mchezo Watu8 akaamua kujivua gamba akajiita Shimba ya Buyenze akakupata ππ
Mie ndio maana naambia watu ukiamua kumkataa mtu humu basi wakatae wote tu manake unaweza kujikuta unazunguka bure tu
Comment yake kaandika kiutani ila ina ukweli ndani yake ππNaendelea kuchukua samari ya wanaume wa JF ππ
Mwamba apewe tuzo aisee...ila usikute udugu wetu ni Sega la asali π€€Kile kikosi noma π€£π€£π€£
Sema udugu mwamba kawapangua wote dadeq πββοΈπββοΈπββοΈ
Jamani π€£Ila maua Ntakuchapa π€£π€£π€£
Ni ID yako mpya??Oooooh kumbe
Uko na unyama mwingi sanaππTunasagiana sumu kweupeee π€£π€£
π€£π€£π€£ Haya bffAkija nistue π€£π€£π€£
Hahahahh umakini ni muhimu kwa kweliComment yake kaandika kiutani ila ina ukweli ndani yake ππ
Ana utamu mwingi udugu, smart mpk karudi si mchezo πππMwamba apewe tuzo aisee...ila usikute udugu wetu ni Sega la asali π€€
Uko na unyama mwingi sanaππ
Hapana hapana.. me yule yule mkuu ππππππNi ID yako mpya??
Yupi jamaniHapana hapana.. me yule yule mkuu ππππππ
Kuanzisha mahusiano humu ni sawa na kubeti moyo yaani lolote linaweza tokea πHahahahh umakini ni muhimu kwa kweli
Mpka unamwagika wasππUnyama wa kutosha πππ
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaβ¦..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Hi nimekumiss jamaniHello beautiful