Loving you Mahondaw

Shem kama mshenga una suit zako na card ya Pasaka na laazizi wa moyo wako. Alipo Upo kama crdb🀣
Mshenga km mshenga shem πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahsante sana tutafika bila kukosa, sisi tunapenda watu wapendane.!!!
Ulivyotaja crdb hapo shem, moyo umelia paah.!! Hebu fanya jambo kwa mdogo angu anitumie vocha kwanza 😜
 
Hii comment akiiona bro mi sitaki ugomvi kabisaaa . Najua alishakupa card ya benki na password ni wewe tu
 
We mwanamke
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…