Loving you Mahondaw

Kabeeeeeesa rafiki. Tatizo binadamu ni wabishi sanaaaa!
Wabheja sana
 
sasa bora mie niliyemuita Sele, je ningerudia akicho kisema yule mdada aliye mgomea kushuka kwenye gari?

Udugu ulipitwa na mengii,, mweeeeh
Weee kipi kingine iko?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ule uzi kumbe ulikuwa na mambo mengi.!!
Ila wanawake wanamsema huku anawadinya 🀣🀣🀣
 

🀩

Bunny Mack amekwimba,

View: https://m.youtube.com/watch?v=bRldpgSWo1Q
'You are my sweetie, my sugar, My baby, My lover...So honey, let me love hold you, let me love you Forever.

OH YES, OH YES'πŸ₯²πŸ₯³

Cheusi, do you see this.?? Come back beybi.
 
hivi unajua mnanichekeshaa sana? Ko kila mkikaaa issue ni hiyo ya yeye kuitwa sele? Woiiiiiih
Mbona mambo yao nishaawaachia wenyewe eti.
Ww dogo ni snitch, naamiini hakuna sehemu antonnia amekukosea.
Juzi hapa katoka kukuwish birthday, Ila ww umeamua kufurahisha watu kwa muda mfupi bila kujali urafiki na undugu mlionao wa muda mrefu
Naamini mmeshirikiana mengi, Leo mnaweza tena kuaminiana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…