Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Najikaza kidogo si unajua mwanaume hadekiπππππ Mgonjwa umepona??
Dada zangu wa wapi tenaπDada zako wameporwa mume ww unachekelea?? π€£π€£π€£π€£
Mawifi nawapambania ila bro wenu anazingua hayupo upande wenu kabisaa
Mhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! π€£π€£π€£Najikaza kidogo si unajua mwanaume hadekiπ
Kaskazini, ina maana ww hujui km smart alikuwa shemeji yako?? πππDada zangu wa wapi tenaπ
ππππ wii mapembeloUnanifurahishaga tu wifiyangu πππhauna shughuli ndogo
Uongo, hapa kazi tuπMhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! π€£π€£π€£
Umenishinda hadi mi last born
Samalekooo ποΈ!Uongo, hapa kazi tuπ
Dada niliyenae kaskazini ni Carleen, Sasa useme ni yupi na yupi hao wengine maana huenda sijajuaKaskazini, ina maana ww hujui km smart alikuwa shemeji yako?? πππ
Sema mawifi msijali lazima nifanye mambo uduguu awarudishie bebi wenu πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Aamin aamin!
π€ π€ π€ π€ ! Acha adeke wako wachache na wanagombaniwa ujue π!Mhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! π€£π€£π€£
Umenishinda hadi mi last born
Nipo mambo mengi tu mtu wanguSamalekooo ποΈ!
Lamomy amejua kukuficha doh! Nafurahi kukuona tena rafiki
"Hahahaha"Ukiulizwa unachofanya utajibuje
Tuhamie upi sasa udugu? [emoji23][emoji23][emoji23]Ipo siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu uzi ushanichosha huu, tuhamie mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliniuliza hivi mpaji Mungu mnafahamiana uko kkoo.??
Inaonekana ana pesa, kuna sehemu nimeona kachangia pesa nyingi.!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema mamaah.!! Winga kafikiwa kupewa kipochi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwani wapi ulichangia pesa nyingi kaka??
Dadaako nadaiwa pesa na mchina hutaki kuniongezea..!! [emoji23][emoji23]
Uongo πππUongo, hapa kazi tuπ
Kuwa bize inapendeza sana mara moja moja kama hivi unaibuka kutusabahi jf. Nimeipenda hiiNipo mambo mengi tu mtu wangu
Mmeo anakazi sana, hivyo anapendezwa na umbea wako kweli?ππππππ Mgonjwa umepona??
ππππ Waasi wako wengi tatizo muda wowote wanaweza kunipinduaSamalekooo ποΈ!
Lamomy amejua kukuficha doh! Nafurahi kukuona tena rafiki