Loving you Mahondaw

Kumbe kuandika bila emoji unaweza udugu 🤣🤣🤣🤣
Pole sana.!! Kwani nani alikusema upo upande wa wapinzani.??? Mna vyama humu??? 😂😂😂
 
Ukitaka uishi kwa amani humu akikisha hakuna mtu umewahi kumpa nafasi ya kukujua hata kwa bahati mbaya vinginevyo,Ila pia kuna story za kutunga hata kama mtu hakujui wala kukufahamu🤨
Nawa jua baadhi ya watu Humu, hats off to them.
👉Wako poa Sana, wame staarabika.

Maisha ni jinsi unavyo pangilia, kenge na kenge- Hawa zalishi Simba.
 
Mbona unanipa ugwadu wa kujua nn kinajiri, hebu nipe samare kwanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eboooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…